Nice of you BHT!am back
sasa kama una-adopt mtoto pia lazima tofauti ya umri kati yako na mtoto iwe miaka 21 (samahani sahihisho kidogo- mzazi lazima anye adopt awe n akuanzia miaka 25)
kama mtoto ni identified (if u know the parents) pia issue ya salary sio muhimu sana
suala la baba ku-claim mtoto back halipo.......
hiyo ku-brain wash umenikumbusha kun aissue ilishawhi kutoke Dar!!Nice of you BHT!
Maelezo yanajitosheleza sana haya!
Japokuwa mtoto kutembelea wazazi wake kibongobongo wakishaona yuko bomba wanam'brainwash vibaya kabisa!