Ku-adopt mtoto

daughter

JF-Expert Member
Jun 22, 2009
1,275
745
Wakuu nina swali,Ni nini process ya ku-adopt mtoto?anayetaka kuadopt ni step dad.Na je, akisham-adopt baba mzazi wa mtoto anaweza kum-claim mtoto back?Please assist.
 
hitaji mojawapo kama nayetaka kufanya hivo ni a local person basi awe amefikisha umri wa majority, anafanya kazi inayomwinfizia kipato kisichopungua laki 2 na nusu hivi.

hilo la baba/mama mzazi ku-claim mtoto back sin auhakika sana kama linawezekana ila nachojua mtoto ni ruksa kuwatemebelea wazazi wake pale inpohitajika kufanya hivo.

people just give me sm minutes ntawamwagia madetails yote hapa (sore kidogo tu)
 
am back

sasa kama una-adopt mtoto pia lazima tofauti ya umri kati yako na mtoto iwe miaka 21 (samahani sahihisho kidogo- mzazi lazima anye adopt awe n akuanzia miaka 25)
kama mtoto ni identified (if u know the parents) pia issue ya salary sio muhimu sana

suala la baba ku-claim mtoto back halipo.......
 
Nice of you BHT!
Maelezo yanajitosheleza sana haya!
Japokuwa mtoto kutembelea wazazi wake kibongobongo wakishaona yuko bomba wanam'brainwash vibaya kabisa!
 
Nice of you BHT!
Maelezo yanajitosheleza sana haya!
Japokuwa mtoto kutembelea wazazi wake kibongobongo wakishaona yuko bomba wanam'brainwash vibaya kabisa!
hiyo ku-brain wash umenikumbusha kun aissue ilishawhi kutoke Dar!!

wabongo bwana mtoto waliadopt wazungu, after yrs wakaja bongo kutembea kijana akaenda kusalimia wazazi heee mara hivi mara vile loh kesi mahakamani tena
mweeeh sheria ikachukua mkondo wake, bilogical parents had no rights over the boy..kushnei
 
Nadhani mahakama au ustawi wa jamii lazima wahusishwe, na consent ya mzazi iwepo isipokuwa kama amemmistreat mtoto. Baada ya hayo anakuwa mtoto wako 100% na ktk mirathi anahusishwa. Hakina kuclaim tena from his/her former dad. Ila best process ni ngumu, ndefu na yenye usumbufu mwingi but if you are determined don't despair, just GO AHEAD!
 
Asanteni sana kwa maoni yenu....at leaset i know where to start from.Shukrani!
 
Back
Top Bottom