Kaitaba
JF-Expert Member
- Jun 30, 2009
- 916
- 52
Ikiwa imepita miezi kadhaa tangu mamlaka ya chakula na dawa TFDA itangaze kuwa dawa za metakelfin zisitumike kwa sababu kuna za bandia,
Imegundulika kuwa dawa za kutibu malaria zinazoitwa Duo-cotexin zipo za bandia, na zinatumika mpaka sasa,
Sababu inayonifanya nione anatakiwa kuwajibika ni hii;
Hivi mimi na wewe tunaweza kutengeneza dawa? jibu ni hapana, ina maana wanaotengeneza za bandia ni wale waliopitia fani yake hivyo anawafahamu,
Kama zinatoka nje kama wao walivyojitetea, mipakani hakuna watendaji wake?,
Basi tuseme hausiki kwa njia moja au nyingine, basi ajiudhulu katika hali ya kuonesha kuwa amesikitishwa na madhala yatakayowapata watu waliokwisha tumia dawa hizi, na wanaoendelea kutumia hadi leo hii.
WATANZANIA TWAFWA!!!!!!!!!!!