Kozi ya Clinical Medicine topic zanazohusika Physics ipo?

Physics ipo ndo mana wanaosoma MD wanachukua PCB kuna mavifaa huko kusoma lazima uwe na physics kichwan ka n ivo hata HKL wangeenda tu
 
Unaelewa maana ya physics is the most fundamental science? Yaani ili biology na chemistry zieleweke vizuri lazima abc za physics ziwepo kichwani! Mfano ukitaka kuelewa jinsi ATP inatoa energy hapo ni physics. Jinsi photosynthesis inatokea hapo ni physics tupu ....jinsi sikio linasikia bila kujua waves hutoboi
Kwa nini tunaona na rangi tofauti tofauti yote hiyo ni physics...,.Sasa utasomaje clinical medicine na huna abc za physics kichwani?
 
aanh nmeuliza kama lazma uapply physics katk clinical officer
 
[QUOTE="kid boe, post: 47306885, member: 715363"hapana nilitak kujua kama physics inatumika saw saw na kweny engineering[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom