proisra
JF-Expert Member
- Jun 14, 2012
- 214
- 158
Ni utata mtupu...... Askari jasiri Donald Julius Mathew mwenye namba za polisi F 3276 aliyejitokeza hadharani na kuwaataja askari wenzake wa mkoani hapa akiwashutumu kwa mambo mbali mbali ya kiwemo ya kushirlikiana na wahalifu, eti kakutwa amejinyonga.
Utata unatokana na eneo la tukio ambalo ni karibu sana na kituo cha poilisi Morogoro, na pia kitendo cha yeye kuwaanika wenzake ktk vyombo vya habari ikiwemo Jamii Forums hivi majuzi.
Tatu, kwa mtu aliyedhamiria kujiua, asingechagua mti wa aina hii hapa. Urefu toka miguu yake hadi ardhini ni chini ya 1-8cm. Halafu kimewekwa kiti kibovu pembeni, ule ushahidi wa kikova-kova: Bonyeza hii blog ili ujionee mwenyewe. This Day Magazine: BREAKING NUUUUUUZ: ASKARI POLISI AJINYONGA
Wanaharakati wa Tanzania na Wabunge wetu waingilie kati. Tanzania siyo DSM tu. Hili la askari huyu linafanana na lile la Dr. Ulimboka na sinema ya Kova. Wananchi wanataka kujua ukweli. Hata mjane wa huyu askari (amabye ni mjamzito) naye anataka kujua ukweli. Je askari huyu kajinyonga kweli au amenyongwa.