Kova mpya aibukia morogoro na staili mpya!!!

proisra

JF-Expert Member
Jun 14, 2012
213
158
Ni utata mtupu...... Askari jasiri Donald Julius Mathew mwenye namba za polisi F 3276 aliyejitokeza hadharani na kuwaataja askari wenzake wa mkoani hapa akiwashutumu kwa mambo mbali mbali ya kiwemo ya kushirlikiana na wahalifu, eti kakutwa amejinyonga.
Utata unatokana na eneo la tukio ambalo ni karibu sana na kituo cha poilisi Morogoro, na pia kitendo cha yeye kuwaanika wenzake ktk vyombo vya habari ikiwemo Jamii Forums hivi majuzi.
Tatu, kwa mtu aliyedhamiria kujiua, asingechagua mti wa aina hii hapa. Urefu toka miguu yake hadi ardhini ni chini ya 1-8cm. Halafu kimewekwa kiti kibovu pembeni, ule ushahidi wa kikova-kova: Bonyeza hii blog ili ujionee mwenyewe. This Day Magazine: BREAKING NUUUUUUZ: ASKARI POLISI AJINYONGA

Wanaharakati wa Tanzania na Wabunge wetu waingilie kati. Tanzania siyo DSM tu. Hili la askari huyu linafanana na lile la Dr. Ulimboka na sinema ya Kova. Wananchi wanataka kujua ukweli. Hata mjane wa huyu askari (amabye ni mjamzito) naye anataka kujua ukweli. Je askari huyu kajinyonga kweli au amenyongwa.
 
Nikweli mazingira ya kujinyonga huyu jasiri ni ya kutatanisha sana maana clues kubwa za mtu kujinyonga hazionekani bali kanyongwa na kutundikwa.inatakuwa independent and privtae postmoterm ifanyike bila kificho na kusimawia na tume huru.
 
Nikweli mazingira ya kujinyonga huyu jasiri ni ya kutatanisha sana maana clues kubwa za mtu kujinyonga hazionekani bali kanyongwa na kutundikwa.inatakuwa independent and privtae postmoterm ifanyike bila kificho na kusimawia na tume huru.

=========================================================

Polisi wanajichunguza mara hii Morogoro kama Kova DSM..............
 
tanzania ukiwa mkweli na mfichua maovu maisha yako yapo hatarini

haya ni kwa Tanzania iliyo chini ya serikali ya ccm peke yake tu ndugu yangu. trust me, there a better Tanzania ten times more than this. tuwaondoeni hawa waharifu ccm madarakani. halafu mi naona 2015 mbali sana, ningekuwa na uwezo yaani leo leo. wanatufanya tunaishi maisha ya dhambi dhambi tu, hata haki yako stahiki kuipata mpaka udanganye au kutoa rushwa ndo uipate. jamaniiii. shame on ccm magambazz!!!!!!!!
 
Fanya utafiti bila hilo huna haki ya kuongea.....jamii yote imeoza bila kubagua kundi fulani kuanzia wewe
 
Tunaelekea kutenda yale yaliyokuwa yakitendeka nchini Kenya chini ya Kenyata na Moi.
Nafikiria kugomea kuchukua kitambulisho cha utaifa..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom