KOVA: Mhe. Kapuya HANA Kosa la kuojiwa ni mambo yake binafsi

Duh! Ukame wa fikra!!! Bado tuna safari ndefu!

Ndefu sana mkuu, ndefu mno. Tanzania matatizo mengi ya kijamii tunayafagilia wenyewe, na baya zaidi wanaopewa dhamana ya kutuongoza washatujua kuwa "chochote wakifanya kwetu tunachukulia poa tu". Kwa wenzetu hilo jibu la Kova yeye angeanza Kung'oka halafu anafuatia huyo mzee kuchunguzwa, na ndio ingekuwa mwisho wa siasa ktk maisha yake. Lkn cc Ahhh! POA TU!. Kazi ipo.
 
Bopwe una akili sana. Nilijua nipo peke yangu nilieliona hilo

Watanzania tuache umbumbumbu kiasi hiki, mnataka mtoe hukumu kwa kusikiliza manane ya KOVA? mhusika alishasema watoto wao wanauza unga lakini hakuna wa kuwakamata, jambo ambalo ni la kweli....wao ndio serikali na ndivyo wanavyoitumia serikali siku zote,, Kova angaeanza kwa kukana kwamba huyo mtoto hajawahi kupelekwa polisi kwa kufanya vurugu Biashara Complex kwenye ofisi za KAPUYA, akane hakujawahi kutolewa maridhiano ndani ya kituo cha polisi Oysterbay, na pia akane kwamba hakuna msg za vitisho zilizotumwa kwa huyu mtoto kutoka kwa Kapuya ili angalau wenye akili zetu tuanze kutafakari......eti kwa sababu tu imeripotiwa gazeti la Tanzania Daima basi ni uzushi...magazeti mangapi yanachelewa kutoka kila siku baada ya baadhi ya taarifa zinazowagusa vigogo wa ccm kuandikwa na baadaye wenye magazeti hayo kupewa fedha nyingi na kutakiwa kubadilisha habari hiyo? kama hamjui na hilo na kwanini hawawezi kulinunua tanzania daima basi mnahitaji kuongezewa UBONGO....shem on YOU msioelewa janga kama hili......shem on you ccm na serikali yake na watu wake....
 
Hapa tutasema mwisho tutakosana bure,

Tusaidiane ili huyo binti aende kwenye vyombo vya kisheria.

.......... zaidi ya hapo utakuwa unanichokoza............

Unaninyima haki ya msingi kupata your personal views dada kwa kuniambia nakuchokoza!!!

Haya mi siuoizi tena bhana ila familia kubwa hii naona wengine wamekuanza kukuchokoza!!!!!
 
Kwa Mujibu wa Kamanda Kova-Suala la Ubakaji ni suala "Binafsi" neno "Binafsi" lina maana kwamba mtu akibaka hakuna kosa lolote atakalokuwa ameitendea "Jamhuri" kwa mujibu wa sheria ya Ubakaji maarufu kama "Sospa"Sexual Offences Special Provision Act of 1998, Ubakaji ni kosa la jinai na Jinai yoyote ni dhidi ya Jamhuri, kwa hiyo Kapuya atakuwa amebaka "Jamhuri"

Ugumu unakuja katika Ushahidi, ni kwa vipi unathibitisha kuwa kweli umebakwa? Kwa mujibu wa sakata la Kapuya, ili kuthibitisha ubakaji kwanza lazima kuwepo na Gwaride la utambuzi, kwamba Polisi watawaweka watu zaidi ya mmoja katika Parade akiwepo Kapuya ili huyo binti aje amtambue mbakaji wake.

pili: Simu ya kapuya-Polisi waende kampuni ya zain kuomba kuchapishiwa "Message" zote za kapuya kwenda kwa huyo Binti.

Tatu: Yule aliyekuwa diwani wa kata ya sinza aitwe athibitishe kama aliwahi kumpeleka huyo binti kwa kapuya ili kumwombea "Msaada"

Nne: Yule mhudumu wa ofisini kwa Kapuya aitwe athibitishe kama kweli yule binti alienda ofisini kwa kapuya au la!

Polisi waache kusingizia kuwa eti hakuna aliyeenda kulalamika polisi, Mbona ile "MOVIE FAKE" dhidi ya Rwakatale ilipowekwa mtandaoni polisi walichukua hatua mara moja? nani aliyeenda kulalamika?

Kwa nini Tanzania haiamini taarifa za vyombo vya habari wakati imevisajiri yenyewe?
Mbona Taarifa zingine huwa inachukua hatua bila kigugumizi?

Na mimi nikibaka-ole wao polisi waje wanikamate!!!

Kwa sasa mtu yeyote anaweza kubaka endapo akifikishwa polisi au mahakamani aseme hayo ni mambo yangu binafsi.
 
Watanzania tuache umbumbumbu kiasi hiki, mnataka mtoe hukumu kwa kusikiliza manane ya KOVA? mhusika alishasema watoto wao wanauza unga lakini hakuna wa kuwakamata, jambo ambalo ni la kweli....wao ndio serikali na ndivyo wanavyoitumia serikali siku zote,, Kova angaeanza kwa kukana kwamba huyo mtoto hajawahi kupelekwa polisi kwa kufanya vurugu Biashara Complex kwenye ofisi za KAPUYA, akane hakujawahi kutolewa maridhiano ndani ya kituo cha polisi Oysterbay, na pia akane kwamba hakuna msg za vitisho zilizotumwa kwa huyu mtoto kutoka kwa Kapuya ili angalau wenye akili zetu tuanze kutafakari......eti kwa sababu tu imeripotiwa gazeti la Tanzania Daima basi ni uzushi...magazeti mangapi yanachelewa kutoka kila siku baada ya baadhi ya taarifa zinazowagusa vigogo wa ccm kuandikwa na baadaye wenye magazeti hayo kupewa fedha nyingi na kutakiwa kubadilisha habari hiyo? kama hamjui na hilo na kwanini hawawezi kulinunua tanzania daima basi mnahitaji kuongezewa UBONGO....shem on YOU msioelewa janga kama hili......shem on you ccm na serikali yake na watu wake....

.
...Akiongea na waandishi wa habar i... Kama waandishi wa habari Tz fikra zao ni mgando kiasi cha kushindwa kumhoji kova kuhusu mambo ya msingi kabisa na ufunguo wa uthibitisho wa kapuya kujihusisha na huyu mtoto, unafikiri waTz wengine wa kawaida watakua je?. Rushwa ni adui wa haki na haki ya mtoto huyu itapotea kwa sababu kuna mazingira yanayoashiria bahasha za khakhi kwa waandishi kabla ya kukutana na connman Kova.
.
 
Hapana mkuu, hii kutafasiri ya KOVA inawahusu vigogo tu, sisi walala hoi sheria ipo palepale miaka 30, kazi ngumu na viboko 12.
6 Unapoingia na 6 unapomaliza anapotoka ili ukamsimulie nkeo.
 
Huyo Kova angekua mwanae ndio kafanyiwa hivyo na huyo bazazi angetoa kauli hizo hizo?
 
Ni utamaduni wa Vigogo wakikutwa na kosa la UBAKAJI wanalindwa na Polisi, kwa kuwa suala hili limemkuta mtoto mdogo tena yatima tunaviomba vyombo vya kutetea haki za binadamu kuchukua hatua. Ila nadhani atajitokeza Advera Senso na kauli zake kwamba kauli ya Kova jana imenukuliwa vibaya na vyombo vya habari. Nchi ya kulinda maovu ni Tanzania pekee.
 
mkuu Tantawi usijaribu kabisa kile unachokusudia kwani kijamii na kisheria ni kosa kubwa sna.kuhusu Kapuya tunaomba vyomba vya Dolla vifanye uchunguzi wa kina na ikidhibitika bila ya shaka yeyote kuwa alifanya hivyo basi sheria ichukue mkondo wake.
 
Kova anakibint kibich alikiamisha kutoka bawbaw sec school.mimi hicho ndo nakitafuta nikibake alafu ole wako kova na police wenzio mnifuate .
Hilo ni suala langu binafsi
 
Labda alilopoka hakuwa na information zakutosha, ila kama kioo cha jamii angekuwa makini kidogo maana inahusu maisha ya mtu na kumkuza binti, asiye na wazazi. Mototo wa mwezio ni wako.......
 
Kwani hujui kwamba sheria zetu zimetungwa kwa baadhi ya watu? Hapa tukiendelea kusubiri tutaishia kuchinjwa tu kama kuku. Hizi sheria tuachane nazo, hazitufai. Tafakari, chukua hatua.
 
Uchunguzi ufanyike ipasavyo.

Ila na wazazi/walezi, hakuna free lunch. Hii ikiingia vichwani mwetu kuna mambo mengine tutawaeoushia vizazi vyetu. Turiani shule ya serikali, ada sidhani kama inafika hata laki 3 kwa mwaka, mtoto wa niaka 14 anahongwa 700K na benzi juu?
 
Back
Top Bottom