Kosa liko wapi hapa

deogan

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
399
46
X=Y
2X=2Y
3X-X=3Y-Y
3X-3Y=X-Y
3(X-Y)=X-Y
3=(X-Y)/(X-Y)
3=1. ????

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kama X=Y Then
X-Y=0;
THEN
3=(X-Y)/(X-Y) IMPLIES 3=0/0; na 0/0 does not exist in Maths(Math error)

Siyo mpaka uwe genious kufanya haya, wabongo kwenye hesabu ni wavivu kufikiri. Good work Kamwela

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
kwa methodology ulotumia uko right coz "any hypothesis is valid to its own assumption(s)"
 
Haya ndo yale mambo nisopenda ya find y wakati unaiona kabisa hapo. Wewe usiumie sana kwenye maisha find y hakuna bali find Note/coin
 
Kosa lipo hapa:
Blaaah blAaah blaaah bluuuuh bleeeh bleeeh, paf paf paf chwing!!!

hawa jamaa wazembe kweli, wamesahau hata shuleni ukikosa swali unawekewa 'X' , futa X zote uone kama kosa bado litakuwepo hahah!
 
Haya ndo yale mambo nisopenda ya find y wakati unaiona kabisa hapo. Wewe usiumie sana kwenye maisha find y hakuna bali find Note/coin

We ndio unaeumia kwa kuiacha maths... btw still unanafasi bana... acha watu tufurahie maikwesheni yetu hahhaa...
 
Izo zote nisha zikopi nazipeleka kwenye x-ray kuzipima kuwa ndo zenyewe? Au mmetuletea feki hizo find y.
 
X=Y
2X=2Y
3X-X=3Y-Y
3X-3Y=X-Y
3(X-Y)=X-Y
3=(X-Y)/(X-Y)
3=1. ????

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Aaaah!! Nilishindwa hesabu tangu Form Two, na nilipomaliza Form Four nilipata hii kitu "F". Haka ka F kanaharibu vyetu vyangu, maana mambo yangu huko kwingine sio mchezo.

Thus, nikiona hesabu huwa napata homa kali sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom