thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,256
- 9,085
- Thread starter
- #21
Mkuu hio heading niliiweka makusudi, ili wanaufipa wakimbilie ,niliiweka Kama bosheni tu,kila wakiingia holaa!Safi sana mleta mada. Hata hivyo kicha cha habari kinamushkeli kidogo kulingana na mada yenyewe.
Tatizo wabongo hawawezi kutumia fikra zao kwa maslahi ya taifa lao. wanaamini kuwa kwao kambi ya upinzani wakati wa uchaguzi basi watabaki wapinzani daima, tena kwa kupinga kila kitu. Kwa maana nyingine ni kuwa kuna wapuuzi wasioitakia mema tanzania. kwao maendeleo ya taifa ni tusi. Hawana hata chembe ya uzaelendo.
Mbaya zaidi ni ulimbukeni wa baadhi ya wabongo. wanashabikia tu hata kitu kisicho cha kushabikia. Amini nakuambia, hata leo raisi aseme kila mtanzania apewe gari yake ya kutembelea watapinga tu, tena pasipo sababu ya msingi. Angalia hii mada, waswahili badala ya kumjibu mleta mada kulingana na habari aliyoleta waatukama matusi. Sijui lini tutafika