Korean Group May Build 210-Megawatt Wind Farm

Alpha

JF-Expert Member
Aug 30, 2007
662
251
South Korean Group May Build 210-Megawatt Wind Farm in Tanzania
Share | Email | Print | A A A March 23 (Bloomberg) -- A group of South Korean investors plans to build a 210-megawatt wind-power farm in Tanzania’s central Singida region by 2011 at a cost of $400 million, Chris Incheul Chae, chief executive officer of Good P.M Group, said.

The project, which comprises of 100 wind-generating turbines of up to 60 feet each (18.3 meters), will be located about 150 kilometers (94 miles) northwest of Tanzania’s capital, Dodoma, Chae, said today in an interview at Stone Town in Zanzibar.

Chae’s group has signed a memorandum of understanding to acquire the 500-hectare (1,235-acre) property in Singida from Tanzania’s Power Pool East Africa Ltd., he said. Korean contractors will start construction of the wind farm by year- end, said Chae. In the second phase, the group may acquire 900 hectares of adjoining land and build as much as 1,800 megawatts of capacity, he added.

About 90 percent of Tanzania’s population has no access to power. Peak demand for electricity is about 782 megawatts, compared with a capacity of 570 megawatts, with demand growing at about 15 percent a year, Minister for Energy and Minerals William Ngeleja said March 13.

South Korean Group May Build 210-Megawatt Wind Farm in Tanzania - Bloomberg.com
 
The most challenging aspect with wind farms is, how will they store the energy?

The technology to store the energy gathered by the wind turbines is in its infancy, and even this infant technology is really geared at small to medium scale production, from powering a large house to a big farm and a small town.This is not something to be deployed on a large/ regional/national grid scale.

these projects could only serve a constrained lacale and therefore must be located very strategically.Any ambitions of scheduling wind generated electricity on demand over a wide geographical location (several regions) is bound to hit logistic and economic resistance.
 
Tanzania's Power Pool East Africa Ltd., Huu si ndio umeme wa Wazawa/Wazalendo? Mara hii wameuziwa Wakorea? Kazi ipo mwaka huu!

Mradi wowote ambao utasaidia kuondoa tatizo la umeme Tanzania mimi naunga mkono. Tuwe waangalifu tu kwenye ku sign mikataba ili tusiendelee kudanganywa na hawa wageni.
 
It doesnt matter as long as umeme haukatiki and the national demand is met. Kazi iko tuu kwenye mikataba.
 
The most challenging aspect with wind farms is, how will they store the energy?

The technology to store the energy gathered by the wind turbines is in its infancy, and even this infant technology is really geared at small to medium scale production, from powering a large house to a big farm and a small town.This is not something to be deployed on a large/ regional/national grid scale.

these projects could only serve a constrained lacale and therefore must be located very strategically.Any ambitions of scheduling wind generated electricity on demand over a wide geographical location (several regions) is bound to hit logistic and economic resistance.

My question is it not possible to sell the energy into the nation grid line?
 
-- A group of South Korean investors plans to build a 210-megawatt wind-power farm in Tanzania's central Singida region by 2011 at a cost of $400 million, Chris Incheul Chae, chief executive officer of Good P.M Group, said.

Tuachane na mambo ya kutegemea middle men wanaojiita investors.

Huu ni mradi ambao tunaweza kuufanikisha Watanzania wenyewe. Tanesco wanahitajika kufanikisha wao wenyewe miradi kama hii kwa kukopa mitaji na kuongeza uwezo wao na sio kuwatumia hao ma-middle men.

Kama Tanesco hawawezi, basi monopoly iondolewe ili wazalishaji wengine waweze kuuza umeme wao wenyewe bila kutuongezea unnecessary charges.

Tanesco haihitaji $400 millioni kwa mkupuo, mradi unaweza ukaanza na hata $100 millioni na kukua hadi hizo $400 millioni au zaidi. Na kama hawana mtaji kwa nini hadi leo hawajaweza kujiunga na DSE kupata mtaji wa Watanzania?
 
tatizo la TZ, unaweza sikia miradi kibao, inapoishia hujui, mara mradi wa kuzalisha umeme wa taka, mara mvua za kupandikiza toka wataalamu wa Thailand nk. Hii yote ni kukosa mipango ya muda mrefu katika sera zetu, mpaka likija tatizo ndio tukulupuke.
 
Kiranga,

Wataproduce AC moja kwa moja na ambayo itakuwa directly fed kwenye grid.
 
Chae’s group has signed a memorandum of understanding to acquire the 500-hectare (1,235-acre) property in Singida from Tanzania’s Power Pool East Africa Ltd., he said. Korean contractors will start construction of the wind farm by year- end, said Chae. In the second phase, the group may acquire 900 hectares of adjoining land and build as much as 1,800 megawatts of capacity, he added.

Jamani hebu nielimisheni. Hii ardhi ni ile ile ya kampuni ya akina Mwakyembe? If so huu sio ulanguzi? Mimi nina maswali yafuatayo:-

1. Tuliambiwa wananchi wa Singida waliwanyima wawekezaji waliokwenda na
helicopter na kuwapa wazawa weusi. Sasa ni vipi hawa wazawa weusi
sasa wamewapa wakorea weupe/manjano?

2. Tuliambiwa kuwa kampuni ya PPEAL iko katika makaratasi tu na haijaanza
kazi. Ni vipi kumbe imeanza kazi ya kuuza ardhi?

3. Watu waliochangia mawazo ya kuikwamua Tanesco walikuwa wasomi ma
professor, wabunge, watu wenye nyadhifa serikalini na watu wenye akili
sana. Jee mwisho wa akili zao ni hizo za kulangua ardhi?

4. Tunaomba tuone hiyo MOU? Jamaa wamevuta kiasi gani na ni kiasi gani
wamewapa wananchi wa Singida ambao waliwapa hiyo ardhi?

Naomba kwanza nielimishwe kwa hayo kabla sijuliza mengine kwani maswali ni mengi.
 
Ukigugo hii kampuni ya Wakorea unatoka kapa. Ukimgugo huyo GM wake, unakuta habari zote zilizoandikwa leo, ikiwa ni pamoja na hityo ya kwanza iliyotolewa Blooommberg na zingine ni sisi Watanzania.

Mwenye taarifa kamili za hii kampuni, atuletee tuanze kuichambua kama tulivyoichambua Richmond, IPTL na Dowans!

Lingine, nafikiri Watanzania tunajiuza kirahisi sana. Kuna mtu katoa kauli kuwa kawa wakileta umeme usiokatikakatika, it does not matter!

Lowassa alisema hilo hilo kuhusu Richmond na Mvua yake ya Ukwaju!

We need to get away form the mentality of saying whatever it may take, to justify things!
 
Well, sasa habari inakuwa tamu kwani yale nayokataa kwa Dowans nayaona hapa yakiendeshwa na wizara..
Jamani hata kama hawa jamaa wameuza ardhi mara ngapi tunaambiwa tuhame na tunapewa kifuta jasho kisha serikali inaweka madai kuwa tumewuza ardhi?.. Bush kanunua ardhi Kigamboni hivi kweli wale wananchi wa hapo wameuza hiyo ardhi?..
Mimi nataka kujua mwisho wa hili swala lini Watanzania tutaweza kujifunza!
Hawa wakorea watakwenda benku kuu au benki za Asia kuomba msaada kama sisi tutakavyoweza kuomba na hayo Mabenki watatazama manufaa na faidi ya mradi mzima kama watakavyoweza kuona toka kwa hawa jamaa.. Tanesco wameshindwa kipi haswa, na iweje sisi tuwape hawa jamaa faida wakati mtaji sii wao wala hawana historia za ujenzi au uendeshaji wa nguvu za Umeme isiwe hawa jamaa ni contractors tu lakini nyuma yake kuna msanii mwingine..Siku zote mjenzi wa nyumba sio mmiliki wa nyumba tunahitaji maelezo zaidi ktk swala hili..
Kama ni Mwakyembe yuko nyuma ya swala hili basi wakuu zangu nimechoka!.. sina la kusema na navua kofia kwa usanii wa Bongo.. Duh.
 
Mkandara,

Umebakia pekee yako aliye muumini safi wa Ujamaa! kwi kwi kwi!
 
Shabashhh umenikumbusha mvua za Ukwaju/EL, unajua ajenda ya umeme na ukame wa mvua lilikuwa kitega uchumi kikubwa kwa wenzetu kwa mda mreeeefu tu, ndipo EL akaona hili linaweza shtukiwa then akawa creative wa mvua za ukwaju ambazo nafikiri zingeanza kabla ya 2010-2014 na baada ya hapo ushindi wa kishindo 2015
 
Well, sasa habari inakuwa tamu kwani yale nayokataa kwa Dowans nayaona hapa yakiendeshwa na wizara..
Jamani hata kama hawa jamaa wameuza ardhi mara ngapi tunaambiwa tuhame na tunapewa kifuta jasho kisha serikali inaweka madai kuwa tumewuza ardhi?.. Bush kanunua ardhi Kigamboni hivi kweli wale wananchi wa hapo wameuza hiyo ardhi?..
Mimi nataka kujua mwisho wa hili swala lini Watanzania tutaweza kujifunza!
Hawa wakorea watakwenda benku kuu au benki za Asia kuomba msaada kama sisi tutakavyoweza kuomba na hayo Mabenki watatazama manufaa na faidi ya mradi mzima kama watakavyoweza kuona toka kwa hawa jamaa.. Tanesco wameshindwa kipi haswa, na iweje sisi tuwape hawa jamaa faida wakati mtaji sii wao wala hawana historia za ujenzi au uendeshaji wa nguvu za Umeme isiwe hawa jamaa ni contractors tu lakini nyuma yake kuna msanii mwingine..Siku zote mjenzi wa nyumba sio mmiliki wa nyumba tunahitaji maelezo zaidi ktk swala hili..
Kama ni Mwakyembe yuko nyuma ya swala hili basi wakuu zangu nimechoka!.. sina la kusema na navua kofia kwa usanii wa Bongo.. Duh.

Mkuu Mkandara,

Mbona unataka kuanza kukata tamaa wakati ngoma ndio bado mbichi hivyo?

msimamo wangu ni ule ule tusiwekeze kwenye watu, tunaweza kuwa dissapointed, tuwekeze kwenye principles, maadili, sheria nk.

Tunayekubaliana naye kwenye hizo principles tumuunge mkono, akienda tofauti tunamlima bila kumwangalia usoni.

Wengine tumeshawaona Watanzania wengi sana na maneno yao matamu, siku walipopewa ulaji ndio ukawa hata mwisho wa kujuana.

Sijui wale wananchi Wazalendo wa Singida waliotoa ardhi yao, waliulizwa hata kama wanataka hiyo ardhi sasa wapewe wageni?
 
Conflict of interest bado haijaonekana tuu
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi Principle nzuri nikumpa mtu mda tu,maana jambazi hawezi ficha ujambazi wake atauficha kwa mda tu.
 
Can any body come and tell us here how the electric current (or electric power) is stored after being generated? And for how long can it be stored if produced in eccess?!
 
Back
Top Bottom