Kong'ota

yutong

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
1,601
338
Kitendawili wanaJF ... bila shaka mtaitikia tegaaa:

Ni handsome boy
Anapenda safari za nje
Chukua akili za kwako changanya na za mbayuwayu.. eh
sizihitaji kura za wafanyakazi
hata nyoka akizeeka anajivua gamba
hawezi kujibadili kuwa wingu akanyeshe mtera


haya kazi kwako kutegua kitendawili
 
Sikujibu kabsaaaaa nisije nikatungiwa kesi ya kubaka na kulawiti watoto wadogo nikaishia jela!
 
Mkuu nakupa Arusha!!! Nafikiri huu ni mji muafaka, tafadhali tegua kitendawili, tupe jibu (Angalia usije ukandoka na PAW!!!!) LOL

Tiba
 
Inaonekana kitendawili kigumu sana. Nipeni mjimnipeni mji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom