Kongosho na posts zake: Huwa nabaki mdomo wazi

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,650
Kwa kila post anayojibu au kuanzisha huwa imekaa kikomedi komedi na utaishia kukenua magego. Hivi ana undugu na 'marehemu' Bujibuji huyu?
 
mmmh, haya nayo yemetokea lini tena?

Kuhusu undugu na bujibuji, ntamuuliza baba.

Pamoja sana kama nakuchekeshaga.
 
Kongoshoo ninakufahamu niruhusu niwatajie walau jinsi yako na kazi yako,
 
Back
Top Bottom