Wow.. Happy birthday kipenz.. Kumbe ndo maaaaana..
Nilitaka ku throw "stress party" ila nahisi nita crush kwenye shughuli yako!
Za asubuhi...
Kongosho kuonyesha mi na Amy damdam..tuandalie viti viwili vya pamoja
Kongosho kuonyesha mi na Amy damdam..tuandalie viti viwili vya pamoja
Mmmmmmmhhhhhh???????