kongosho kongosho kongosho................

Happy birthday Kongosho Mungu akupe maisha marefu yenye furaha!

Asante P, hapa tu nina marefu kweli
Na natamani yaendelee tu

bwahaaabwahaabwahaa...........

kwanza kabisa
Happy birthday kongosho....sweetheart mkubwa wa The Boss....


pili una kifua wewe? nikungong'oneze?

Hapo pekundu, inatosha kabisa
Hao wengine nao watabanana huko huko lol

Wouu!mama la mahaba,shangingi sugu,mtaalamu wa malavidavi,ukipenda mwiite tandandamu,mpora waume za watu.....happy birthday Kongosho

Ha ha ha ha, hebu nitake radhi
Ujue mie nauma majani, hadi aniangusage mwenyewe na sambi zake

Happy Birthday to you Kongosho

Asante mtambuzi, msalimie na wanao Cantalisia na King'asti

mama kwani Kongosho kakuzidi?au

Nimemzidi miaka 10, inakuhu?
 
Last edited by a moderator:
kwanza chukua hii, zawadi imetoka kwa The Boss


images.jpg

pili heri uweke pamba za masikio, maana ungejua treatment The Boss anazompa Amyner ungepata heart konkasheni....,
anyway....nakupa hizi kama zawadi..



konnie.jpg

bila kusahau hii kutooka kwa Asprin... anakwambia plz say "yes"

images.jpg
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom