wachungaji hawasomi biblia wako kifedha zaidi, pumbafu yake
Pumba huwa hazi vumiliki hapa mkuu,nakumbuka mwaka 2009 mkandala kuna kitu alikuwa anaongelea akazomewa pale nkurumah, (zilikuwa pumba lakini)
ndio maana wachangiaji wengi walipendekeza isipelekwe bungeni kwani itapitishwa na wabunge wengi wa ccm!Nimeusikiliza Mjadala japo kwa umbali ila nilichoona ni usanii mtupu wa serikali ya CCM na mafisadi wake. vipengele vingi vya rasimu inayotaka kupelekwa bungeni vinatia kichefuchefu. ila viwili kwangu vitanifanya nitapike kabisa
1. Atakayehoji tume ya katiba au kuanzisha mjadala atafungawa miaka miwili jela na hakuna faini
2. Wasimamizi wa shuluguli za utoaji maoni ni wakuu wa mikoa wakuu wa wilaya na maofisa watendaji wa kata na vijiji.
Kwa haya tu hapa kuna katiba mpya au ndo kuwakaanga waTZ kwa mafuta yao wenyewe? hii si kuwa CCM wanataka kutuletea kituko kingine tuanze kujuta na kusema bora hata katiba ya zamani?
Hivi hapa kuna uwazi, uhuru na demokrasia ya ukweli??
Hawa wamefanya haya wakijua Anna Makinda na wenzake wa CCM walio bungeni wataipitisha kwa maslahi yao binafsi. Na kwa vitisho hivi hakuna maslahi ya taifa wala uhuru wa kutoa maoni kamwe haupo.
Swali langu:
Kwa kusema watanzania waanze kutaaa sasa,na jinsi tulivo ambiwa kuwa ukipinga muswada ni kosa la jinai,hapa marando hana kesi?
Na tukipinga watanzania wote tutapelekwa gereza gani tutoshe kwa pamoja?
Sasa ipelekwe wapi wandugu, maana haya mambo ni ya kisheria zaidi, sio kama kujadili mambo ya kitchen party!ndio maana wachangiaji wengi walipendekeza isipelekwe bungeni kwani itapitishwa na wabunge wengi wa ccm!
Pumba huwa hazi vumiliki hapa mkuu,nakumbuka mwaka 2009 mkandala kuna kitu alikuwa anaongelea akazomewa pale nkurumah, (zilikuwa pumba lakini)
Muundo wa Muungano hautakiwi kuguswa kwenye katiba hii?
Uchaguzi huru?
Uraisi hautakiwi kuguswa pia?
This is crazy,..ni kelele hapa na amestop kwa mda kuongea
Nimeusikiliza Mjadala japo kwa umbali ila nilichoona ni usanii mtupu wa serikali ya CCM na mafisadi wake. vipengele vingi vya rasimu inayotaka kupelekwa bungeni vinatia kichefuchefu. ila viwili kwangu vitanifanya nitapike kabisa