Kodi ya SimCard sasa kuanza mara moja!

Nimehangaika kusoma thread kumbe source ni jarida la udaku wa kisiasa?
Anyway najisikia fahari kuchangia pato la nchi kwa maendeleo ya nchi yangu
Naomba kukatwa kuanzia mwezi wa kwanza mwaka huu.
Nawasilisha.

Du umecomment kama vile msaani wa taarabu! Watanzania wengi ni maskini wa hali ya chini,kipato chao ni chini ya dola 1 kwa siku ww uajifanya eti wakate kuanzia January ,kama una hela chafu ni za kwako bhana.
 
Dawa yao ni kuwa na laini mpya kila mwezi na unakopa, mwezi ukiisha unaitupa.
 
acha ushabiki wa kisiasa wewe unaongea kama mjinga wa mitaani hapa ni kwa maslahi ya wananchi sasa wewe kama mtu uliepewa dhamana kuitetea tanzania kwa upande wa vijana ndo unatetea nini hapo? inasikitisha sasa kama mpaka sasa hujielewi. sisi kila tutumiapo simu tunatozo la kodi kwa makampuni ya simu, inatosha kwa serikari kukusanya kodi kwa hayo makampuni na sio kuongeza mzigo kwa wananchi. shame on u!

mh kapewa dhamana na nani tena?
 
Nimehangaika kusoma thread kumbe source ni jarida la udaku wa kisiasa?
Anyway najisikia fahari kuchangia pato la nchi kwa maendeleo ya nchi yangu
Naomba kukatwa kuanzia mwezi wa kwanza mwaka huu.
Nawasilisha.

Duh! Mbona inaonekana ulishakatwa tayari!!! Usipende wakukatekate ovyo ndugu yangu, wenyewe wanasubiria zamu yao 2015!!
 
Nimehangaika kusoma thread kumbe source ni jarida la udaku wa kisiasa?
Anyway najisikia fahari kuchangia pato la nchi kwa maendeleo ya nchi yangu
Naomba kukatwa kuanzia mwezi wa kwanza mwaka huu.
Nawasilisha.

Sasa dada angu,wewe ni part n parcel ya matumizi ya kodi hiyo kupitia ruzuku ya CCM utasema nini hapa zaidi ya kuunga mkono.ha ha ha
 
Ni kuwahamisha watanzania kutoka kwenye katiba ili wasahau waipitishe katiba yao ya ccm.Woga wetu ndio tatizo acha watusulubu wapendavyo.
 
serikali inazisakama kampuni za simu kwa sababu kampuni za simu wamiliki wake ni globl na hawatoi rushwa!!! serikali inagwaya kuongeza kodi ktk madini kwa sababu wanachukua rushwa kwa wenye migodi ndio mana kila kukicha ni simu tu!!! hii kodi ya kichwa nadhan chadema watangaze kama ilani ya uchaguzi ujao kama tutakatwa basi watarudisha kwa kila mtu kila atachokua amekatwa!!!
 
Shilingi 1000 kwa mwezi ni sawa na shilingi 33 kwa siku.
Mbona caller tunes Mnalipia zaidi ya shilingi 30 kwa siku + 360..
kwa makampuni ambayo hayalipi kodi (Push mobile) na hamlalamiki!!!!?.
Swali tu!
 
Nimehangaika kusoma thread kumbe source ni jarida la udaku wa kisiasa?
Anyway najisikia fahari kuchangia pato la nchi kwa maendeleo ya nchi yangu
Naomba kukatwa kuanzia mwezi wa kwanza mwaka huu.
Nawasilisha.

unapenda kukatwa mwe...hu wewe,yan nikosomaga comment zako najickia kichefuchefu
 
Nimehangaika kusoma thread kumbe source ni jarida la udaku wa kisiasa?
Anyway najisikia fahari kuchangia pato la nchi kwa maendeleo ya nchi yangu
Naomba kukatwa kuanzia mwezi wa kwanza mwaka huu.
Nawasilisha.

vp umemaliza siku zako? kama una hamu ya kukatwa msubiri mchemba.
 
Nadhani kila mtu ana muono wake kutokana namazingira anayoishi'ebu tumtazame chenge huyu ninani? kama sio fisadi.hizo ninjia mojawapo za kutuibia sisi watanzania .uchaguzi unakuja tunaanza kuibiwa ili izo hela zisaidie kampeni .kwani akuna njia nyingine yakukusanya kodi?mpaka mchukue hela za walala hoi jamani?hivyo serikali kupitia huyo chenge aioni aibu?nahuyo dada anaesema aanze kukatwa ajieleze ana shunguli gani hapa mjini au ndio mtoto wa fisadi na msafirisha unga.?serikari iliangalie upya iachane na hiyo kodi.wabunge wapunguziwe malipo yao yaende kwenye hiyo bajeti.kazi yao ni kupigana tu ndani ya bunge.
 
Naomba wahusika watueleze kwa ufasaha, Hizo simu za kuzimwa ni zile ambazo zitakutwa hazina pesa ya kulipia kodi au vipi. Na je hizo takwimu za milioni nane wamezipata wapi au ni simu ambazo hazijasajiliwa na makampuni ya simu.
Naomba kueleweshwa.
Maono yangu simu nyingi za walalhoi hazina balance ya kulipia kidi sasa itakuwaje?
 
Nimehangaika kusoma thread kumbe source ni jarida la udaku wa kisiasa?
Anyway najisikia fahari kuchangia pato la nchi kwa maendeleo ya nchi yangu
Naomba kukatwa kuanzia mwezi wa kwanza mwaka huu.
Nawasilisha.

Mbona unakatika kabla ya kukatwa sasa? Si usubiri isimame!
 
Back
Top Bottom