pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,636
- 6,261
Sidhani kama una chanzo chochote cha mapato na kama unacho basi wewe ni kibarua wa kubeba zege, make yeye hana haja ya kuweka pesa benki kwa kuwa anaila yote make kazi yake anaifanya kwa ajili ya mdomo wake.Safi sana hii ndiyo niliyokuwa naiota miaka yote, kila mtu alipe kodi na siyo wachache tu!