Hahahaha, mkuu Mwafrika, actually wakati naquote hiyo post wala sikujua kama ilikuwa ya mkulu GT, I mean nisingetemea mtu mwenye kuonyesha kuwa na info nyingi ivo ashindwe kuijua website ya PM wetu...huko kwenye udini sipo, mi suala la kuweka rekodi sawa tu!
ha ha haha
Haya mkuu,
Huko kwenye dini niachie mimi. Ninaapa kupambana na wale wote wenye mipango ya siri na ya wazi (kama GT) ya kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya kiislam. Mwenyezi MUNGU nisaidie... amen