GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,651
- 109,046
Kama kawaida yako Madam Kiherehere na Kukurupuka CEO Barbara Gonzalez na Uongozi wa Simba SC kwa kupenda Kwenu Kukurupuka hasa pale linapokuja Suala la Kuajiri Makocha. Kocha Stuart Baxter ambaye GENTAMYCINE nimehakikishiwa na Vyanzo vyangu aminika kuwa ndiyo Simba SC watampa Kandarasi nilibahatika kumfahamu mwaka 2004 nilipokuwa 'Kitaaluma' katika Chuo Kikuu cha UCT mwaka 2004 hadi 2005.
Katika Kumfahamu Kwangu huko nikiwa jirani kabisa Kimakazi ( katika Viunga vya Jiji la Cape Town ) na alliyekuwa Mchezaji wa Santos FC Mkenya Musa Otieno niliweza kumfuatilia kwa ukaribu hasa alipoteuliwa kuwa Kocha wa Timu ya Taifa ya Afrika Kusini Bafan Bafana.
Kama kuna Kocha ambaye hajawahi kuwa na Mafanikio yanayoakisi uwezo wake na ambaye hajawahi Kuaminika au Kupendwa na Mashabiki wa Soka wa Afrika Kusini ni huyu Kocha Mkuu ajaye wa Simba SC Stuart Baxter.
Nakumbuka miaka hiyo hiyo alipokuwa Kocha wa Bafana Bafana ambayo ilikuwa inafanya vibaya chini yake alishakoswakoswa Kupigwa na Mashabiki wasion na Uvumilivu wa Afrika Kusini ambao wakiwa wameshalewa Vilevi vyao na vimepnda Kichwani Kukupiga au Kukudhuru kwa Silaha kwao huwa ni Kaai rahisi mno.
Sijui ni Kitu gani ambacho Simba SC kupitia CEO Madam Kiherehere na Kukurupuka Barbara Gonzalez wamekiona kwa huyu Kocha Stuart Baxter ambaye hata Kaizer Chiefs FC wenyewe hivi karibuni tu wamesitisha nae Mkataba kutokana na Maatokeo siyo ya Kuridhisha na cha Kushangaza Klabu ya Simba imeamua kula Makapi yaliyoachwa na Kaizer Chiefs FC.
Na kama mnamuajiri huyu Kocha nawaonyeni mapema waambieni mapema sana Wachezaji wenu ( hasa Wazawa ) kuwa huyu Kocha hana Masihara na ni mwenye Hasira na Kumpiga Mchezaji Ngumi za akina Twaha Kiduku na Dulla Mbabe Kwake ni jambo rahisi kama si jepesi hivyo waanze Kujiandaa Kisaikolojia mapema.
Sioni sababu yoyote ya Uongozi wa Simba SC kuhangaika kutafuta Makocha wenye Profile Kubwa na Kumpa Gharama Kubwa wakati hapa hapa katika Ukanda wetu huu tuna Makocha wazuri sana, wasio na gharama kubwa na ambao kama tutawaamini na kuwapa Ushirikiano wanaweza kutufanyia makubwa kuliko hawa Makocha wenu wa 110% mnaowashadadia kila mara.
Kocha Abdallah King Kibaden aliyeipeleka Simba SC Fainali ya CAF kabla ya Mzee Azim Dewji kuwaita akina Mohamed Mwameja, George Masatu, Hussein Marrsha, Mwanangu mwenyewe wa Ilala Abdul Mashine ' Shinenga' na Rafiki yangu wa karibu David Mihambo na kuwapa Pesa ili ' Wachomeshe' na asitoe Gari za KIA allizoziahidi alikuwa ni Kocha wa Kigeni? Ukweli ni kwamba Simba SC ya wakati ule ilimuamini Kocha Kibaden na Yeye akafanya Kazi yake vyema bila ya Kuingiliwa na kiongozi yoyote wa Simba SC.
GENTAMYCINE namalizia kwa kusema huu Ukweli ambao ni Mchungu na najua wengi wenu ( hasa Viongozi ) wa Simba SC utawauma ( utawakera ) kuwa tatizo la Simba SC siyo kwa Kocha kwani kwa Upuuzi uliopo baina na Viongozi wa Simba SC, Usaliti, Unafiki, Uchawa ( kutumika na Watu wa Yanga SC ) na Dharau hata tumuajiri Pep Guardiola au Zinedine Zidane au Pitso Mosimame hatoweza Kudumu ndani y Klabu ya Simba.
Upesi sana achaneni na Kocha Stuart Baxter na tafuteni Makocha kutoka Ukanda wetu huu au hata wakiwa ni wa Nje basi wawe ni wa kutoka nchi za Belgium, Sweden, Denmark, Yugoslavia na Ufaransa ila siyo wa kutoka huku Sub Saharan Afrika kwani huwa siyo ' Competent' na hawana Sifa za Kuendeleza Vipaji vya Wachezaji.
Ninasisitiza tena Simba SC achaneni na Kocha Stuart Baxter upesi kama syo haraka sana kwani hatufai kabisa kabisa.