Suchack
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,143
- 4,241
Kama lengo analo yeye wewe maisha yake yanakuhusu nini?

Huyu jamaa ni mpumbavu kabisaMfano upi kwa hiyo unamshauri aache kazi Simba alafu akae nyumbani asubilie kuitwa kufundisha azam na Singida?
Amekujibu nenda wewe ukawe kocha mkuu ili upige huo mpunga. Mbona mgumu kuelewa?Yaani umeandika pumba Ina maana akiwa kocha mkuu Azam, singida una uhakika hawezi kupiga mpunga??
Mpaka awe mpaka koni pale msimbazi acha Mambo yako bhana .
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
umeandika upumbavuWe kiuno fc hivi umeelewa nilichokiandika hapo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Una uhakika kuwa mgunda anapewa kile anachokihitaji,
Mgunda Hana furaha anataka yeye ndiyo awe kocha mkuu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile a
Ndio nina uhakika kwenye mpira kikubwa watu wanaangalia masilahi hayo mengine ya furaha uja baadae.Una uhakika kuwa mgunda anapewa kile anachokihitaji,
Mgunda Hana furaha anataka yeye ndiyo awe kocha mkuu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Acha kujidanganya wwNaam, mlio karibu na kocha juma mgunda naomba mumuonyeshe mawazo na fikra sahihi yaliyoandikwa na the great thinker NALIA NGWENA.
Ndiyoo ukweli mchungu lakini pia ni tiba kwa mtu mwelevu na mwenye kufikiria. Nimeikumbuka coastal union ya mgunda ambayo yanga alikua hapati matokeo kirahisi na hata akipata lazima yanga afanye kazi kweli kweli.
Mpaka zikaibuka kelele za mashabiki nakudai kuwa coast ni simba B ipo ili kuikazia yanga isipate pointi tatu muhimu.
Kumbe haikua hivyo Bali ni tecninic mujarabu za mwamba mmoja aliyependa kuvaa msuli na siyo mwingine Bali ni kocha wa mpira pep gadiola mnene Al watani juma mgunda mzawa.
Huyu mwamba anauwezo mkubwa ni moja Kati ya makocha wazawa taifa linawahitaji katika kukuza mpira wetu huu.
Kila nikikumbuka fainali ya kombe la azam, mgunda akiwa benchi na kikosi chake kikiikabili yanga nakutoa sare ya mabao matatu kwa kila timu mpaka kupigwa mikwaju ya penati na ndipo yanga anaibuka kidedea nakuchukua kombe.
Ilikua ni bonge la fainali juma mgunda alipambana na kocha nabi kimbinu mpaka mchezo unamalizika.
Hakika mwamba mgunda alitekeleza majukumu yake ipasavyo. Kila nikikumbuka mbinu zake alizozitumia kuisogeza simba sc kimataifa baada ya simba kumfukuza kocha naona kabisa mgunda anasitahili kuwa na timu na siyo kuwa kocha msaidizi.
Kila nikiitazama azam, singida na ihefu naona kabisa mzawa mgunda anastahili kuwa kocha wa hizo timu na ataleta upinzani mkubwa katika timu kongwe za kariakoo.
Kwa uwezo alionao mgunda hastahili kuwa kocha msaidizi pale simba, hayo Mambo amuachie suleimani matola maana bado anajifunza na aendelee kugain experience kutoka kwa hao makocha wageni.
Inanisikitisha sana kumuona robertinho akipiga tumbo la mgunda kwa midadi kabisa baada yakuona mchezaji wake amekosa au amepata goli, kiukweli hii ni dharau kabisa.
Kila ninapo muona munda kwenye benchi la simba huwa napata majibu kuwa wachezaji wa kibongo na makoncha ndoto yao kubwa ni kucheza au kufundisha yanga na simba tu, na ndiyo maana kocha au mchezaji anafurahia kukaa benchi hata Kama akiwa hapati namba.
Nikiwa Kama mdau wa mpira NALIA NGWENA THE GREAT THINKER nakuambia juma mgunda nenda katafute timu kwani kung'ang'ania simba nikujishushia heshima maana hao makocha wa kigeni wanaokuja hapo hakuna kigeni usichokijua.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Achana na Mgunda wetu haraka sana simba tukifungwa mzawa etu Mgunda hapati lawama,Naam, mlio karibu na kocha juma mgunda naomba mumuonyeshe mawazo na fikra sahihi yaliyoandikwa na the great thinker NALIA NGWENA.

Wewe umejuaje kuwa anataka awe kocha mkuu? Na ni nani kamzuia asiondoke huko Simba?Una uhakika kuwa mgunda anapewa kile anachokihitaji,
Mgunda Hana furaha anataka yeye ndiyo awe kocha mkuu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wewe ndio wasema
Kwani umesikia Azam na Singida BS wanamuhitaji Mgunda akawe kocha mkuu huko kwa dau kubwa zaidi ya analolipata?Yaani umeandika pumba Ina maana akiwa kocha mkuu Azam, singida una uhakika hawezi kupiga mpunga??
Mpaka awe mpaka koni pale msimbazi acha Mambo yako bhana .
Kwani kutoka coast kwenda simba aliendaje??Mfano upi kwa hiyo unamshauri aache kazi Simba alafu akae nyumbani asubilie kuitwa kufundisha azam na Singida?
Soma vizuri uzi acha kukurupuka.Kama lengo analo yeye wewe maisha yake yanakuhusu nini?
Huna hoja na ndiyo maana unakimbilia matusi Soma uzi kwa kina ndiyo uje kujibu hoja we kiuno fcHuyu jamaa ni mpumbavu kabisa
Mgunda hastahili kuwa mpanga koni pale msimbazi.Ndio nina uhakika kwenye mpira kikubwa watu wanaangalia masilahi hayo mengine ya furaha uja baadae.
Sawa mauno fc.Huko utopoloni wajinga wanazaliwa kila kunapokucha. Sijui tatizo ni nini!!
Mleta Mada Mchawi Wazi WaziUtamlisha wewe?
Mchawi ni Yule aliyewambia mashabiki wa simba ni mbumbumbuMleta Mada Mchawi Wazi Wazi
Simba ilipochezea kichapo dhidi ya Azam nakudondosha point, mashabiki mliibuka nakusema kuwa mgunda anamshauri vibaya kocha mkuu ili akosee kocha mkuu awe yeye mgunda.Achana na Mgunda wetu haraka sana simba tukifungwa mzawa etu Mgunda hapati lawama,
Lawama zote kwa locha mkuu