Nyakwaratony
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 573
- 140
Hodi hodi wanajamvi, habari zenyu bhana!!!!!!! hope mko pouwaaaa, gadooooo, shegaaaaa....... Amam vipi wazeiyaaaaa???:A S 465:
wakazi wa dar hatuko pouwa kabisa, ila karibu!
Never give Up.....as your name!wakazi wa dar hatuko pouwa kabisa, ila karibu!
Tunashukuru sana, lakini tunazipokea pole hizo kutoka pande gani?Poleni sana ndugu zetu za Dar...
Never give Up.....as your name!
Tunawaombea, ila mkiona hali mbaya sana Hamieni SAME milimani.