Knock Knock

Typhord

Member
Dec 26, 2011
29
4
Wakuu hodi huku chumbani, mwenzenu nimechoka kulala chumba cha wageni.
Nategemea kumkuta binamu yangu malaria sugu huku ili tushirikiane kwa kazi hii. na wengine naomba tuvumiliane ili tujenge Taifa letu.
 
Naona watu wanashindwa kukukaribisha chumbani ila mi najitolea. Karibu chumbani, mi nitakupisha ulale kitandani, mimi nalala jamvini, sawa? Malaria Sugu sijui yuko wapi ila jiskie huru, hapa ni nyumbani, akija mtaonana tu. Karibu.
 
Mwali nashukuru kwa kunikaribisha, naomba usinipishe kitandani maana nimezoea kulala wima. nitakuwa mlinzi wako kwa leo
 
Karibu sana mgeni jamvini, nadhani umepata mwenyeji atakayekupatia taarifa za humu ndani kabla hujalala.
 
Wakuu hodi huku chumbani, mwenzenu nimechoka kulala chumba cha wageni.
Nategemea kumkuta binamu yangu malaria sugu huku ili tushirikiane kwa kazi hii. na wengine naomba tuvumiliane ili tujenge Taifa letu.

subiri kidogo mpaka tuhakikishe wewe sio al shaabab
 
1.1300027507.karibu-sana.jpg
 
Back
Top Bottom