Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 5,588
- 8,689
Ni muda mwingine tena tunakutana kubadilishana mawazo na kupunguziana strees..moja kwa moja kwenye mada
Ni kipindi sasa nafuatilia masuala ya burudani haswa haswa burudani ya muziki, siyo siri katika dunia hii muziki ni burudani moja wapo kubwa tu na isiyobagua rika wakubwa kwa wadogo,warefu kwa wafupi,wanawake kwa wanaume,wenye pesa na kwangu tia mchuzi..
Lengo la uzi huu ni kuomba kama siyo kutafuta nyongeza ya burudani hizi ndani ya list yangu kuu ya Rhumba, Soukous..
Tafadhari mwenye burudani zinazofanana na hizi naomba saaana aniongezee..yaani ni moto kuanzia track inaanza hadi inaisha mchanganyiko wa Vinanda,vinubi, guitar 🎸 na ngoma visivyosha
1:-Halo telephone-Fally ipupa.
2:-Rozalina -Dw ft awilo.
3:-Original-Fally ipupa.
4:-Number one -Koffi olomide
Mwisho: Hadi leo sifahamu "muziki asili yake ni wapi"-Remmy