kizunguzungu

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
293
naombeni msaada jamani,asubuhi kabla hata sijaamka nimejisikia kizunguzungu,hii inaweza kuwa imesababishwa na nn jamani?naomba jibu kwa wajuz
 
Sugi....anayeweza kujibu hilo swali ni mganga wa kupiga ramli tu...na sio daktari! Kizungu zungu kina sababu nyiingi tu, ungetoa maelezo ya kutosha ingekuwa rahisi kwa wataalamu wa afya hapa JF kufikiri inaweza kuwa nini na kukusaidia.
 
thanks Riwa,kwa ushauri,ila sina maelezo ya ziada,nilichokieleza ndo kilichonitokea,yaan ningepata scientific reason ya kisababishi cha kizunguzungu,ningesaidika sana
 
Back
Top Bottom