Kizazi cha watumwa kutoka Afrika ya Mashariki kilifutika?

DR David Livingstone,alivyofariki mmoja kati ya wapagazi wake,SUSI or CHUMA alisafiri na maiti mpaka uingereza,baada ya mazishi westminister abbey,huyu kipagazi alibaki england-huyu lazima alipata watoto but it seems historia imewapoteza,but hawa jamaa kwa kumbukumbu surely somewhere in england kuna lineage ya susi au chuma
Chuma%2BSusi%20en.jpg

This is one of a series of photographs taken in June 1874 at Newstead Abbey when Horace Waller was editing the Last Journals of David Livingstone. He is shown with Livingstone's maps and field notebooks. Livingstone's son and daughter are also shown as well as Abdullah Susi and James Chuma who brought Livingstone's body to the coast and travelled with him for many years. It was their accounts that Waller used to construct his scenes of Livingstone's death.
 
Biashara ya utumwa ilifanyika miongo kadhaa iliyopita (inasemekana bado inafanyika baadhi ya maeneo duniani) na kusababisha watu weusi kuenea maeneo mbalimbali duniani mfano visiwa vya Carrebean, Amerika ya kusini, Marekani na kwingineko.

Nimesoma kuwa watumwa wengi kutoka Afrika Mashariki waliuzwa uarabuni lakini sijafanikiwa kupata maelezo ya uhakika iweje hakuna watu wenye asili ya afrika kama ilivyo maeneo mengine. Je, kizazi cha watumwa huko uarabuni kilifutika kabisa?

Naomba wana-JF walio na ufahamu wa suala hili mnifumbue macho.

Tena ilishamiri sana pale Unguja, mpaka leo hii kuna kanisa, la kianglikana nadhani, lina sehemu waliokuwa wakiwafunga watumwa ndani ya kanisa.
 
Habari zaidi na picha za Susi na Chuma, pamoja na waafrika wengine zinapatikana katika pdf attachment hapo chini.
 
Attachments

  • Lives of Bombay Africans.pdf
    346.8 KB · Views: 147
Kusema kuwa watumwa kutoka Afrika mashariki hawakwenda nchi za Marekani ni kutokuwa na data kamili.

Wakati mataifa kama uingereza yalipositisha na kupiga marufuku biashara ya watumwa, walitumia majeshi ya maji kuzuia biashara hiyo. Lakini waReno waliendeleza. Hili waReno kukwepa vizuizi hivyo, walichukua watumwa kutoka Afrika Mashariki na kuzunguka nao Afrika Kusini na kupiga safari kwenda Brazil.

Na kuhusu kuwa ni babu zetu waliochukuliwa utumwani hiyo ni siasa tu. Wengi wa watumwa hawa walikamatwa na sisi tuliobaki na kuwauza kwa waarabu au wareno. Hivyo uwezi kuwalalamikia waarabu wakati wewe ndiye uliye wauza.

Empires nyingi tunazojivunia kama vile ya Mirambo iliendelea kwa sababu ya kujishughulisha na biashara ya watumwa. Hivyo kama ni babu yako ndiye aliyechukuliwa utumwa basi wewe ungekuwa Marekani, Shelisheli.

Matumizi ya watumwa yalikuwa kwa kazi za nyumbani au mashambani. Kama wapo waliokatwa korodani basi ni wafanyakazi wa nyumbani ambao ni sehemu ndogo sana ya watumwa. Sehemu kubwa ya watumwa ilichukuliwa kwenda kwenye kufanya kazi mashambani.

Katika sehemu zilizofanyika shughuli za mashamba kama vile Iraq, India wapo watu wenye asili ya Afrika Mashariki. Na hii ni source kuonyesha.

http://www.npr.org/templates/story/story.php?storyId=96977550&ft=1&f=1001

Mkuu, Mbona unanishangaza kiasi hicho? Kuwa ni siasa tu?? ama kweli inawezekana unayoasili ya kiarabu! Unakataa ukweli ambao wao wenyewe hawajawahi kuweza kujitokeza hadharani wakakanusha wala kujaribu hata kutoa maelezo yoyote. Unasemaje kuwa ilikuwa ni sehemu ndogo tu? Hivi unafahamu hata kumponda mwanaume mwenzio korodani, mmoja tu! ni dhambi kubwa sana? Ni wapi iliidhinishwa kuwa unaweza kuua watu wawili tu na hilo halitakuwa jambo la kuongelea kwamba ukiliongelea inakuwa ni siasa tu?
Waarabu waliwafinyia waafrika kitu mbaya sana, kitu ambacho ni kibaya sana hadi leo ni kuwa waarabu wamebakia kumdharau mtu mweusi mpaka leo. Sijui kama umewahi kutembea dunia hii ukakutana nao ukaona jinsi hadi leo wanavyomchukulia mwafrika mweusi. Kama wewe ni mweusi kweli tafadhali tembea ujionee.
Ni kweli kuwa watumwa wengi walifanya kazi mashambani lakini walipondwa korodani ndiyo maana hakuna mtu mweusi pure arabuni leo hii. Na ufahamu kuwa hata wachache unaowaona wakiwa na asilli ya weusi ni wale ambao masters wao walizaa na dada zetu halafu wakashindwa kuwakata majambia maana wakizaliwa weupe kama wao, kama kawaida ya mtoto mchanga, sasa baada ya kukua kidogo wakashindwa wafanyeje, ndipo inabidi wasalimu amri maana dada zetu "hot as they are", wakati huo anakuwa anampooza master hata alichomwahidi mkewe wa kiarabu kukifanya anashindwa kutimiza.
Ni kweli kuna wakati waarabu waliwauza baadhi ya watumwa Ulaya, lakini baadaye Ulaya ndiyo ilikuwa ya kwanza kupiga marufuku utumwa lakini waarabu waliendelea sana hata General Gordon wa Uingereza alipotumwa kukomesha hiyo biashara Egypt na Sudan ambazo zillikuwa ndiyo soko kubwa la watumwa walioletwa kutoka east afrika na haswa South Sudan, walimmaliza.
Tafadhali sana Mkuu katika hili hamna cha kuficha hata kidogo. Ndiyo maana huwa nasema kwetu waafrika hilo ndilo jambo la kuandaa kuuliza na tusipoteze muda wetu kuwaza sana kuhusu Holocust maana wao wanayo nguvu, akili na teknolojia zaidi za kushughulikia jambo hilo la juzi. Sisi ni nani lini atakuja kukiri kutufanyia hayo? Kuendelea kuwaza hivyo (na kama wewe kweli ni mwafrka mweusi kama mimi) ni kuudharau utu wetu sisi wenyewe. Angalia dunia nzima leo hii inakaa Umoja wa Mataifa unazungumzia the holocust lakini hakuna aliye weza ku-present kitu chenye nguvu kuhusu utumwa! Ni jambo linagusiwa juu juu tu.
 
Hayo mataifa yanayozungumzia ''holocaust'' kwa nini hawazungmzii utumwa? Simpo, wao ndio walikuwa wakifanya biashara hiyo kwa wingi!
 
Zakumi,
Nitaafikiana na wewe.
Ni kweli Waafrika wa mashariki na wa kati walipelekwa Marekani-kama sijakosea wengi wao hawakufika kwani wakati biashara hiyo inapigwa marufuku maeneo ya bahari ya hindi wajanja wengine walijaribu kuwauzia wamarekani kutumia bahari ya atlantic-na huko nako kulikuwa na ban ya aina fulani-wengi walitolewa kwenye meli na kufikishwa liberia-kuna uwezekano mkubwa vizazi hivyo vipo huko.

SYLLO
 
[/COLOR]

Kwa hiyo watumwa wa east Afrika walipelekwa pemba na Unguja???

Wale wazenji 'colored' watakuwa ni wale ambao waswahili walizalishwa na waarabu sawa na wamarekani mchanganyiko. Hilo la watumwa wa east afrika kupelekwa Pemba na Unguja linawezekana maana waarabu lazima walihitaji watu wakufanyia kazi.
 
Ni kweli kabisa, waarabu walikuwa ni mawakala wa Waingereza, katika kupeleka watumwa kwa makoloni ya Waingereza kabla ya mapinduzi ya viwanda ya Uingereza ya mwaka 1850.

Hili nakubaliana na wewe, waarabu walikuwa ni mawakala wa british, watumwa walichukuliwa East africana kupelekwa middle east, then wakapelekwa Europe. Baada ya kufika europe baadhi yao wakapelekwa North america na carribean kwenda kulima mashamba.
Sijasoma sana history , ila nilikuwa katika chuo fulani huko North America majority katika hicho chuo ni african america, kuna kitabu wameandika nchi zote zilizohusika na biashara ya utumwa. Kuna sehemu wameandika eti kuna baadhi ya watumwa walitoka east Africa Tanzania pia walipelekwa north america kutokea europe.
 
Mkuu, Mbona unanishangaza kiasi hicho? Kuwa ni siasa tu?? ama kweli inawezekana unayoasili ya kiarabu! Unakataa ukweli ambao wao wenyewe hawajawahi kuweza kujitokeza hadharani wakakanusha wala kujaribu hata kutoa maelezo yoyote. Unasemaje kuwa ilikuwa ni sehemu ndogo tu? Hivi unafahamu hata kumponda mwanaume mwenzio korodani, mmoja tu! ni dhambi kubwa sana? Ni wapi iliidhinishwa kuwa unaweza kuua watu wawili tu na hilo halitakuwa jambo la kuongelea kwamba ukiliongelea inakuwa ni siasa tu?
Waarabu waliwafinyia waafrika kitu mbaya sana, kitu ambacho ni kibaya sana hadi leo ni kuwa waarabu wamebakia kumdharau mtu mweusi mpaka leo. Sijui kama umewahi kutembea dunia hii ukakutana nao ukaona jinsi hadi leo wanavyomchukulia mwafrika mweusi. Kama wewe ni mweusi kweli tafadhali tembea ujionee.
Ni kweli kuwa watumwa wengi walifanya kazi mashambani lakini walipondwa korodani ndiyo maana hakuna mtu mweusi pure arabuni leo hii. Na ufahamu kuwa hata wachache unaowaona wakiwa na asilli ya weusi ni wale ambao masters wao walizaa na dada zetu halafu wakashindwa kuwakata majambia maana wakizaliwa weupe kama wao, kama kawaida ya mtoto mchanga, sasa baada ya kukua kidogo wakashindwa wafanyeje, ndipo inabidi wasalimu amri maana dada zetu "hot as they are", wakati huo anakuwa anampooza master hata alichomwahidi mkewe wa kiarabu kukifanya anashindwa kutimiza.
Ni kweli kuna wakati waarabu waliwauza baadhi ya watumwa Ulaya, lakini baadaye Ulaya ndiyo ilikuwa ya kwanza kupiga marufuku utumwa lakini waarabu waliendelea sana hata General Gordon wa Uingereza alipotumwa kukomesha hiyo biashara Egypt na Sudan ambazo zillikuwa ndiyo soko kubwa la watumwa walioletwa kutoka east afrika na haswa South Sudan, walimmaliza.
Tafadhali sana Mkuu katika hili hamna cha kuficha hata kidogo. Ndiyo maana huwa nasema kwetu waafrika hilo ndilo jambo la kuandaa kuuliza na tusipoteze muda wetu kuwaza sana kuhusu Holocust maana wao wanayo nguvu, akili na teknolojia zaidi za kushughulikia jambo hilo la juzi. Sisi ni nani lini atakuja kukiri kutufanyia hayo? Kuendelea kuwaza hivyo (na kama wewe kweli ni mwafrka mweusi kama mimi) ni kuudharau utu wetu sisi wenyewe. Angalia dunia nzima leo hii inakaa Umoja wa Mataifa unazungumzia the holocust lakini hakuna aliye weza ku-present kitu chenye nguvu kuhusu utumwa! Ni jambo linagusiwa juu juu tu.

MpendaTZ:

Sina asili ya kiarabu. Lakini ya kireno na kiajemi inawezekana. Kuhusiana na utumwa kwanza inabidi ieleweke kuwa hata makabila yetu yalichangia kwa kiasi kikubwa kwenye biashara hiyo.

Makabila kama ya wayao, wanyamwezi yalifanya hiyo biashara na wao ndio waliokuwa middle-men. Bila makabila kama hayo, mwaarabu azingeweza kufika ndani.

Nilipokuwa mdogo specialit yangu ilikuwa ni kufukuza kuku wakati wa sikukuu. Kama kufukuza kuku kunahitaji juhudi kubwa, basi kumkamata na kumfanya mtu kuwa mtumwa sio kitu cha mchezo. Hivyo basi bila ushirikiano wa mababu wa sisi tuliobaki afrika, weusi wesingechukuliwa utumwani. Hii ni fact na unaweza kusoma kukua na kuanguka kwa Mtemi Mirambo.

Nina ushahidi wa kutosha kuwa mama wa babu yangu alichukuliwa utumwani na wahehe. Na ili kumkomboa, wazazi wake ilibidi walipe ng'ombe. Na kazi ya kumkomboa ilichukua zaidi ya miaka minne. Hivyo hata sisi wenyewe hatukuishi kwa amani na tulidhulumiana.

Na tukirudi kwenye hiyo issue yako ya korodani, kuna vitu fulani vya kueweka. Kwanza idadi ya watumwa walichukuliwa kwa kazi za nyumbani ndio waliopata shikashika za korodani zao lakini awa idadi yao ilikuwa ni ndogo.

Na idadi ya watumwa waliofanya kazi mashambani ni kubwa na hawa waliimizwa kuzaliana. Kuzaliana kwao kuliongeza idadi ya watumwa kwa mmilikaji bila yeye kununua. Hivyo kulikuwa na advantage kubwa ya watumwa wa kiume kutokatwa korodani zao.

Vilevile watumwa waliokwenda Uarabuni ni kutoka mataifa mbalimbali. Kuna wa-slav (warusi, wabulgalia) waliochukuliwa utumwa. Kuna wahindi, kuna waafrika wa kutoka makabila mbalimbali. Hivyo wakati umefika kwa sisi kuonyesha kuwa tunaweza kufanya mabadiliko ya kijamii kama mataifa mengine yaliochukuliwa utumwa na kuweza kubadilika.
 
Neno mwungana linatokana na "Wangwana" ambao walikuwa ni African middlemen walioshirikiana na Waarabu kufukuzana na kukusanya watumwa.
Kule Malawi, ilifika hata tabia ya kuchukia Kiswahili kwa sababu kilihusishwa na hawa waungwana/wangwana.
 
Zakumi,
Nitaafikiana na wewe.
Ni kweli Waafrika wa mashariki na wa kati walipelekwa Marekani-kama sijakosea wengi wao hawakufika kwani wakati biashara hiyo inapigwa marufuku maeneo ya bahari ya hindi wajanja wengine walijaribu kuwauzia wamarekani kutumia bahari ya atlantic-na huko nako kulikuwa na ban ya aina fulani-wengi walitolewa kwenye meli na kufikishwa liberia-kuna uwezekano mkubwa vizazi hivyo vipo huko.

SYLLO

Mkuu,
Hawa Waafrika wa Liberia ni kweli walitokea Amerika Kusini, lakini si kwamba walitolewa kutoka melini. Suala ni kwamba, baada ya mapinduzi ya viwanda kule Ulaya (hasa Uingereza kuanzia 1850), ikaonekana watumwa si dili tena kwa sababu nafasi yao imechukuliwa na mashine, hivyo Uingereza ambayo ilikuwa na makoloni kule Marekani ikawa ya kwanza kukomesha biashara hii ya aibu ikianzia katika makoloni yake!
Kutokana na sababu hii basi, baadhi ya watumwa wale 'redundant' kutoka nchi za Marekani kusuni na Karibi (Caribbean) waliandaliwa nchi za kurudishwa huku Afrika ambazo ni Liberia, Togo, Guinea Bissau, Visiwa vya Sao Tome na Principe na Sierra Leone. Kwa hiyo akina Ellen Johnson Sirleaf ni vitukuu na vilembwe vya hawa watumwa waliotolewa Marekani.

Hili nakubaliana na wewe, waarabu walikuwa ni mawakala wa british, watumwa walichukuliwa East africana kupelekwa middle east, then wakapelekwa Europe. Baada ya kufika europe baadhi yao wakapelekwa North america na carribean kwenda kulima mashamba.
Sijasoma sana history , ila nilikuwa katika chuo fulani huko North America majority katika hicho chuo ni african america, kuna kitabu wameandika nchi zote zilizohusika na biashara ya utumwa. Kuna sehemu wameandika eti kuna baadhi ya watumwa walitoka east Africa Tanzania pia walipelekwa north america kutokea europe.

Hii historia ina ukweli fulani ndani yake. Historia ya watumwa waliopelekwa Ulaya haijaandikwa sana, huenda inatokana na sababu hii, kwamba Ulaya ilikuwa ni sehemu ya kupita tu kuelekea Amerika Kusini.

MpendaTZ:

Makabila kama ya wayao, wanyamwezi yalifanya hiyo biashara na wao ndio waliokuwa middle-men. Bila makabila kama hayo, mwaarabu azingeweza kufika ndani.

Hii historia ni kweli na ndiyo iliyoandikwa sana katika vitabu vingi vya historia. Wanyamwezi ndio pia walikuwa wapagazi wakuu wa Waarabu katika kusaffirisha malighafi za Afrika kwenda Pwani na hatimaye Uarabuni na Ulaya. Kwwa Kenya, kabila kubwa lililohusika na biashara hii ni Wakamba!

Zakumi,
....Kule Malawi, ilifika hata tabia ya kuchukia Kiswahili kwa sababu kilihusishwa na hawa waungwana/wangwana.....

Ni kweli kabisa! Malawi ndio nchi ambayo ilikuwa na "KITUO KIKUU" cha kukusanyia watumwa, madini na pembe za ndovu kutoka nchi za kusini mwa Afrika, katika eneo linalojulikana sasa kama "Nkhotakota". Vituo hivi vilijulikana sana kama "Calling Points".
Asanteni sana kwa elimu hii!

MpendaTZ:

Vilevile watumwa waliokwenda Uarabuni ni kutoka mataifa mbalimbali. Kuna wa-slav (warusi, wabulgalia) waliochukuliwa utumwa. Kuna wahindi, kuna waafrika wa kutoka makabila mbalimbali. Hivyo wakati umefika kwa sisi kuonyesha kuwa tunaweza kufanya mabadiliko ya kijamii kama mataifa mengine yaliochukuliwa utumwa na kuweza kubadilika.

Hayo maandishi niliyobadili rangi iwe ndio msingi wa kujiuliza kwamba sisi Waafrika tulikwama wapi hadi tukapitwa kimaendeleo na nchi ambazo nazo ziliondokewa na rasilimali watu kama sisi katika biashara hii ya utumwa. Hata wale Tamil tigers wa Sri Lanka ni kizazi cha watumwa wa Kihindi waliopelekwa kule na Waingereza kulima na kuchuma chai!
 
Back
Top Bottom