Kizazaa cha fedha za Kampeni Lowassa, CHADEMA na UKAWA

Kwa mujibu wa habari nyeti nilizotonywa sasa hivi kuna kizazaa cha fedha za kampeni zinazowafanya Lowassa, Chadema na UKAWA kwa ujumla kuwa katika mtafuruku mkubwa na mpaka sasa uliopelekea kuchelewa kuanza uzinduzi wa kampeni ya Urais wa ukawa.

Vyama vinayounda UKAWA vinasema Lowassa aliahidi kuwa atatowa fedha zote za kampeni kwa hiyo wao wasiulizwe. Lowassa anasema alizotowa zinatosha (hasemi katowa kampa nani na za nini), Chadema nao wanavunga kuwa mpaka sasa akaunti ya kutowa kiasi kikubwa cha fedha ni lazima saini ya Katibu Mkuu iwepo na Katibu Mkuu wa chadema alipofatwa kusaini yeye kagoma ( huu ni ungo wa chadomo) wanasema eti Katibu Mkuu wao anataka kwanza taratibu za kubadili saini yake zikamilike kama watatowa fedha watowe wenyewe akikamilisha zoezi la kubadili kuwa ndiyo anawakwamisha.

Kizungumkuti kinaendelea wakati marafiki matajiri waliokuwa wanampa fedha azitakazo Lowassa wameona mambo yanakuwa magumu na badala ya fedha wameanza kumpa ahadi za kesho, kesho, kesho huku wakitazama upepo unapovuma.

Kuna habari nyingine kuwa kuanzia jana kuna ng'ombe zaidi ya 3,000 wanapakiwa wapelekwe sokoni kutoka kwenye ranchi moja kubwa sana iliyopo huko Handeni, sijuwi nayo inahusiana na Lowassa?

Kwa mujibu wa mtonyaji wangu anasema, Ndesamburo nae kagoma kutowa fedha, anasema Lowassa aliahidi atatowa fedha zote za kampeni yake yeye mwenyewe kwa hiyo asiulizwe yeye.

Mzee Mtei yupo mbioni kuwasiliana na Lowassa, Lowassa hapatikani kwa muda mrefu kwenye simu, akishalambwa sindano yake inabidi apumzike si chini ya masaa mawili, maana anayoyoma kama teja akishalambwa sindano na kwa mujibu wa habari nilizosoma JF sindano kwake ni kutwa mara 4.

Msione kampeni hazijaanza mkafikiri ni taratibu za kampeni, ukata na kizungumkuti cha fedha ndicho kinachofanya hayo yaendelee.

Mwaka wa uchaguzi huu tutasikia na kuona mengi sana.

faiza nakujua sana wewe na serikari yako ebu jionee aibu na umri wako kutapika maneno kama haya? Hata kama wanasema wanawake ni wambea wewe sasa this too much according to yo status hata mtoto wako hawezi kuamini kuwa wewe ndo umetapika haya.

Izo habari unazosambaza za ugonjwa wa lowassa punguza speed yatakuponza sana. Kwa umri wako tunza status yako faiza shame on you. Tho sistahili kukwambia kitu kama hiki maana unanizidi.ila nimelazimika.

Usisahau kwenda kupima kabla hujasambaza magonjwa ya wenzio.
 
Mleta uzi hayupo katika kundi la wapumbavu na malofa ambalo ndio kundi kubwa kwa sasa, yeye naona yupo kwenye kundi la wajinga.
 
CC: Faizzafox.
Ukisema CDM kuna ukata nitakubishia hadi mwakani. Chama kina bajeti ya kutosha na ni juzi tu wamepewa ruzuku. Usiuhadae umma kwa sababu zako za kiushabiki ili kuwaaminisha pumba zako.
Na hili la kuushangilia ugonjwa unaomsumbua binadamu mwenzako linakusaidia nini. Nikushangae na kukusikitia mkubwa mzima usie na ubinadamu. Badala ya kumwombea apate ahueni unampondea! Kumbuka hakuuomba ugonjwa na ipo siku nawe waweza jikuta mahututi na ukakosa hata dawa kama zake zinazompa usingizi! Hivi wewe wa wapi?

Nadhani ukisoma vizuri utaona Faiza hajasema kuna ukata Chadema bali taratibu za kutoa pesa pamoja 'ahadi ya EL kugharamia kampeni zake mwenyewe' ndio kinachokwamisha mambo.
Swala la ugonjwa kwa binadamu wa kawaida sio kitu cha kushabikia bali kumuombea heri na afya njema mwenzako. Kuhusu afya ya EL kila mwenye uelewa wa kawaida atataka kuijua afya yake maana anaitaka ofis kubwa na yeye (EL) anadai yupo fiti wakati watu wanasema hayupo fit.
 
Si umeambiwa kuwa katibu ana mapumziko?je asipokuwepo ofisi yake haifanyi kazi?
 
CC: Faizzafox.
Ukisema CDM kuna ukata nitakubishia hadi mwakani. Chama kina bajeti ya kutosha na ni juzi tu wamepewa ruzuku. Usiuhadae umma kwa sababu zako za kiushabiki ili kuwaaminisha pumba zako.
Na hili la kuushangilia ugonjwa unaomsumbua binadamu mwenzako linakusaidia nini. Nikushangae na kukusikitia mkubwa mzima usie na ubinadamu. Badala ya kumwombea apate ahueni unampondea! Kumbuka hakuuomba ugonjwa na ipo siku nawe waweza jikuta mahututi na ukakosa hata dawa kama zake zinazompa usingizi! Hivi wewe wa wapi?

Nadhani ukisoma vizuri utaona Faiza hajasema kuna ukata Chadema bali taratibu za kutoa pesa pamoja 'ahadi ya EL kugharamia kampeni zake mwenyewe' ndio kinachokwamisha mambo.
Swala la ugonjwa kwa binadamu wa kawaida sio kitu cha kushabikia bali kumuombea heri na afya njema mwenzako. Kuhusu afya ya EL kila mwenye uelewa wa kawaida atataka kuijua afya yake maana anaitaka ofis kubwa na yeye (EL) anadai yupo fiti wakati watu wanasema hayupo fit.
 
faiza nakujua sana wewe na serikari yako ebu jionee aibu na umri wako kutapika maneno kama haya? Hata kama wanasema wanawake ni wambea wewe sasa this too much according to yo status hata mtoto wako hawezi kuamini kuwa wewe ndo umetapika haya.

Izo habari unazosambaza za ugonjwa wa lowassa punguza speed yatakuponza sana. Kwa umri wako tunza status yako faiza shame on you. Tho sistahili kukwambia kitu kama hiki maana unanizidi.ila nimelazimika.

Usisahau kwenda kupima kabla hujasambaza magonjwa ya wenzio.

Wewe badala ya kujibu hoja unamvaa FaizaFoxy, utamuweza? Ikiwa hoja zake tu umeshindwa kujibu.

Leo ya ngapi?

CCM wana kaba mpaka penalty. Kama ulikuwa hujuwi.
 
Last edited by a moderator:
Walijifanya hawasikii sasa wameanza kufunguka masikio na bado, tunataka waelewe kwamba katu sikio halishindani na kichwa
 
Hivi sasa Ndg Lowasa anapambana peke yake kwa kuwa aliwaahidi UKAWA kuwa atagharimia campaign yote ya Urais hadi jana alikuwa amekwishatumia sh 56.4 billion kwa ajili ya kuwalipa watu mbalimbali waliofanikisha campaign zake toka CCM hadi Chadema.​
Duh! Uongo mwingine wala hauna maana! Unazijua hizo 56.4 billion au unafanya kuzisikia tu?​
 
Huuu uandishi wa habari pasipo kuusomea uan kazi kweli kweli.....mkubwa ulifunza wapi uandishi wako wa habari, chini ya mti au kigoda?????
 
Nadhani ukisoma vizuri utaona Faiza hajasema kuna ukata Chadema bali taratibu za kutoa pesa pamoja 'ahadi ya EL kugharamia kampeni zake mwenyewe' ndio kinachokwamisha mambo.
Swala la ugonjwa kwa binadamu wa kawaida sio kitu cha kushabikia bali kumuombea heri na afya njema mwenzako. Kuhusu afya ya EL kila mwenye uelewa wa kawaida atataka kuijua afya yake maana anaitaka ofis kubwa na yeye (EL) anadai yupo fiti wakati watu wanasema hayupo fit.

Sisi ndo waajiri hivyo tunapokutaka jambo fulani tunayo haki hiyo ili upewe kazi la sivyo akachunge ng'ombe
 
lowasa ndo kawapiga.anajua sasa hawana namna ya kuweka mgombea mwingine,kaona kisa cha kufiliska....
ataunyuti tu'itabidi zile bilioni 15 alizompa mbowe aziteme........chezea lowasa wewe......

Dahh! Lowasa kweli master mind.
 
Kwa mujibu wa habari nyeti nilizotonywa sasa hivi kuna kizazaa cha fedha za kampeni zinazowafanya Lowassa, Chadema na UKAWA kwa ujumla kuwa katika mtafuruku mkubwa na mpaka sasa uliopelekea kuchelewa kuanza uzinduzi wa kampeni ya Urais wa ukawa.

Vyama vinayounda UKAWA vinasema Lowassa aliahidi kuwa atatowa fedha zote za kampeni kwa hiyo wao wasiulizwe. Lowassa anasema alizotowa zinatosha (hasemi katowa kampa nani na za nini), Chadema nao wanavunga kuwa mpaka sasa akaunti ya kutowa kiasi kikubwa cha fedha ni lazima saini ya Katibu Mkuu iwepo na Katibu Mkuu wa chadema alipofatwa kusaini yeye kagoma ( huu ni ungo wa chadomo) wanasema eti Katibu Mkuu wao anataka kwanza taratibu za kubadili saini yake zikamilike kama watatowa fedha watowe wenyewe akikamilisha zoezi la kubadili kuwa ndiyo anawakwamisha.

Kizungumkuti kinaendelea wakati marafiki matajiri waliokuwa wanampa fedha azitakazo Lowassa wameona mambo yanakuwa magumu na badala ya fedha wameanza kumpa ahadi za kesho, kesho, kesho huku wakitazama upepo unapovuma.

Kuna habari nyingine kuwa kuanzia jana kuna ng'ombe zaidi ya 3,000 wanapakiwa wapelekwe sokoni kutoka kwenye ranchi moja kubwa sana iliyopo huko Handeni, sijuwi nayo inahusiana na Lowassa?

Kwa mujibu wa mtonyaji wangu anasema, Ndesamburo nae kagoma kutowa fedha, anasema Lowassa aliahidi atatowa fedha zote za kampeni yake yeye mwenyewe kwa hiyo asiulizwe yeye.

Mzee Mtei yupo mbioni kuwasiliana na Lowassa, Lowassa hapatikani kwa muda mrefu kwenye simu, akishalambwa sindano yake inabidi apumzike si chini ya masaa mawili, maana anayoyoma kama teja akishalambwa sindano na kwa mujibu wa habari nilizosoma JF sindano kwake ni kutwa mara 4.

Msione kampeni hazijaanza mkafikiri ni taratibu za kampeni, ukata na kizungumkuti cha fedha ndicho kinachofanya hayo yaendelee.

Mwaka wa uchaguzi huu tutasikia na kuona mengi sana.

Watasingizia kunyimwa Jangwani,halafu hawa nyumbu kweli utatangazaje sehemu ya kufanyia kampeni wakati mamlaka zenye kumiliki sehemu hiyo baado haijakupa ruksa ya kufanyia hizo kampeni mahala hapo?mwingine anasema wanayimwakwenda hospitali sijuianadhani hospitali wanaingia tu kama sokoni Tandale,si lazima taratibu zifuatwe mwenzao Samia kafuata taratibu huyu mwingine yeye anajiingilia tu,hospitali ni sehemu nyeti tofauti na sokoni.
 
watampa kitanda"
chezea Dr?
 
Back
Top Bottom