Kiza hutengeneza maumbo?

Mshana we ni mwongo sana vitu hivyo hakuna hata uchawi nayo ni mambo yakusadikika tu.
 
Hata horror movies ukiwa unaangalia unatishika tena unaogopa kwelikweli na huku unajua ile ni muvi tu imeektiwa.fikra inaumba sana ukishindwa kuimudu mfano ikitokea mtu amefariki mtu anakwambia kwa hakika kbs nimemuona marehem kapita hapa au kasimama huku hofu imemjaa.hizo fikra unaziumba mwnyw ilhali kiuhalisia hamna hicho kitu na hakitatokea eti umuone marehem kakusimamia.
 
Na ndio maana kuna watu huwa hawapendi kabisa kuziangalia
 
Kwenye pande nne nane na kumi za dunia kuna kitu kinaitwa mhimili wa kati(central axis) hapa ndio kitovu cha yote kwenye hizo pembe
Sasa unapolalia ni kama unakuwa mshazari na mhimili wa kati au ni kama unalitazama anga ambalo hupitisha mambo na nguvu mbalimbali zisizoonekana
Mtu anapolala huwa katika dormant state ya ufahamu lakini macho pamoja na kufumba huona kupitia mifuniko yake...kwahiyo kwenye ulimwengu wa roho macho yana mawasiliano ya moja kwa moja na vyote vinavyopita angani , sasa kinapotokea cha kuogofya sana au ambacho kitakinzana na macho hapo ndio surphocation huanza
Duu we jamaa hauna undugu au uhusiano wowote na marehemu Sheikh Yahya Hussein!?
 
cc: mliosoma nae mje mumpe adhabu khaa! Si kwa kuwapa chemba moyo huko!.
Ndugu yangu alipenda kututisha saana hasa umeme ukiwa umekatika anajifunika shuka nyeupe anavaa viatu virefu afu ananyoosha mkono juu basi anaonekana mreefu.....afu anakuja taraaatibuu mtafutano wake balaaaa mayoweee...ila alikulaga kichapo hakurudia maana alisababisha antI yangu kuteguka mguu. Ujue enzI hizo.stori za majini zilikua nyiingi mara jini limemtokea flan, mara tax dreva alipakia abiria kumbe jini mara jamaa katongoza dem kumbe jini ile wameingia room mkonoo akaunyoosha kuzima taa ...eti ghafla akatokea na mtu na shuka nyeupe!!!.
Daaa umenikumbusha mbali kidogo uliposema ananyosha mkono anazima taa. hzo stori bado zpo mkuu.
 
Chuoni nilikuwa bingwa wa kutengeneza hizo commotions na watu walikuwa wanaogopa hasa nilikuwa nachukua foil paper kama nusu mita hivi naining'iniza pahala let's say kwenye corridor kisha nazima umeme halafu na pasua Maputo watu wakitoka mkuku chumbani wanakutana na kitu kinang'aa kwenye korido unakuta wote wa narudi mkuku vyumbani, mimi nang'oa foil yangu kisha naenda kuwasha umeme
Ni kitendo cha dakika chache na huisha kabla paniki haijawa ishu na hivyo kila mtu kutengeneza mzimu wake kichwani na kusimulia alichokiona....basi mimi mbavu sina
mkuu wewe noma
 
Hahahaha! Mkuu umenikumbusha mbali sana. Iliwahi kutokea nikiwa nasoma Advance. Kuna Jamaa alisimamishwa shule kwa makosa ya kinidhamu. Sasa watu wakawa wanatania kuwa kuna mzimu wake kila siku unazurura hapo shuleni. Sasa siku moja tumetokea darasani usiku kupiga msuli,tumekaa mahali tunajipumzisha huku tunasikiliza redio. Bahati mbaya nikapitiwa na usingizi.

Niliokuwa nimekaa nao wakaenda kutafuta shuka leupe pee,wakaja kunifunika kisha wakawajulisha watu kuwa Leo waje wakamshuhudie mzimu wa Jamaa. Sasa wamejikusanya wakaja wengi,wakaanza kujiuliza eti siyo mzimu. Ile wamesema twendeni tukamfumue,mm nikakurupuka kwa wenge la ajabu .......hahahaha! Watu wote walikimbia mpaka wale waliokuwa wamecheza mchezo. Na mm nilipoona wanakimbia,nikawafata mbio nikijua kuna noma. Bado shuka limenishikilia tu. Shule nzima walitoka mbio wanakimbia. Majamaa na wenyewe hawakuwa na uwezo tena wa kujitutumua. Watu tulicheka Sana siku hyo.
 
Mimi kwenye mawingu hasa jioni, naweza angalia juu nikaona wingu limetengeneza picha kama ya mnyama au mtu au jengo,

Hiyo imekaaje bwana Mshana maana mmmmh!
 
Mimi kwenye mawingu hasa jioni, naweza angalia juu nikaona wingu limetengeneza picha kama ya mnyama au mtu au jengo,

Hiyo imekaaje bwana Mshana maana mmmmh!
Kuna cases chache ni kweli lakini nyingi ni mind tricks na hizo picha hutengenezwa kwenye medulla zikarushwa machoni kisha hayo mawingu ni kama projector
 
Back
Top Bottom