Kiza hutengeneza maumbo?

mshana hizi story za uchawi uchawi unazipenda sana,hauna hata ndugu mganga wa kienyeji
 
Mkuu Mshanajr unaweza kuongelea kuhusu majinamizi? Kuna wakati mtu ukiwa usingizini unahisi hali kama ya paralysis then kinachofuata unakua huwezi hata kujitingisha baada ya hapo unaona live unakabwa na dubwana ambalo huwezi kulitambua vizuri na unajiona unapiga makelele lakini hakuna anaesikia,hii inakuaje?
Hii ina topic kama tatu hivi hapa jukwaani nyingine ni za kisayansi kutokana na ulalaji na nyingine ni mambo yetu haya
 
Na usiku ukilala kwa mgongo unaweza ota mauza uza na vitu vya kutisha sana...Hii nayo husababishwa na nini mshana jr ?
Kwenye pande nne nane na kumi za dunia kuna kitu kinaitwa mhimili wa kati(central axis) hapa ndio kitovu cha yote kwenye hizo pembe
Sasa unapolalia ni kama unakuwa mshazari na mhimili wa kati au ni kama unalitazama anga ambalo hupitisha mambo na nguvu mbalimbali zisizoonekana
Mtu anapolala huwa katika dormant state ya ufahamu lakini macho pamoja na kufumba huona kupitia mifuniko yake...kwahiyo kwenye ulimwengu wa roho macho yana mawasiliano ya moja kwa moja na vyote vinavyopita angani , sasa kinapotokea cha kuogofya sana au ambacho kitakinzana na macho hapo ndio surphocation huanza
 
zilikua zangu hizo za kujitisha hadi nilipopata elimu ya mawazo kuwa huumba nikajirekebisha, nikawa mtu wa mawazo chanya,,,asikwambie mtu hapo unapita koridoni usiku let say unafata maji umeme umekatika heee unahiisi nyuma kuna mtu anakufuata, usipoangalia unaweza piga yowe ahaha hahaha hahaa.
 
Chuoni nilikuwa bingwa wa kutengeneza hizo commotions na watu walikuwa wanaogopa hasa nilikuwa nachukua foil paper kama nusu mita hivi naining'iniza pahala let's say kwenye corridor kisha nazima umeme halafu na pasua Maputo watu wakitoka mkuku chumbani wanakutana na kitu kinang'aa kwenye korido unakuta wote wa narudi mkuku vyumbani, mimi nang'oa foil yangu kisha naenda kuwasha umeme
Ni kitendo cha dakika chache na huisha kabla paniki haijawa ishu na hivyo kila mtu kutengeneza mzimu wake kichwani na kusimulia alichokiona....basi mimi mbavu sina
 
cc: mliosoma nae mje mumpe adhabu khaa! Si kwa kuwapa chemba moyo huko!.
Ndugu yangu alipenda kututisha saana hasa umeme ukiwa umekatika anajifunika shuka nyeupe anavaa viatu virefu afu ananyoosha mkono juu basi anaonekana mreefu.....afu anakuja taraaatibuu mtafutano wake balaaaa mayoweee...ila alikulaga kichapo hakurudia maana alisababisha antI yangu kuteguka mguu. Ujue enzI hizo.stori za majini zilikua nyiingi mara jini limemtokea flan, mara tax dreva alipakia abiria kumbe jini mara jamaa katongoza dem kumbe jini ile wameingia room mkonoo akaunyoosha kuzima taa ...eti ghafla akatokea na mtu na shuka nyeupe!!!.
 
Miaka ile ya 90 kulikuwa na bar maarufu sana karibu kabisa na makaburi ya kinondoni
Siku moja bar ikiwa imefurika wezi wakaivamia kwa style ya ajabu walikuwa kama sita hivi wakachukua vivyago kama mafuvu wakavichomeka kwenye miti kisha wakajifunga mashuka meupe na kunyoosha ile miti juu
Wakaingia kwa style ya kuizinguka bar na kuamuru kuwa kila kitu kiwekwe juu ya meza ikiwa ni pamoja na pesa atakayekaidi atakiona cha mtema kuni
Watu hakuna aliyesachiwa hata mmoja lakini waliacha kila kitu
Na kila aliyemaliza kujisachi alitafuta pa kutokea na kutokomea kusikojulikana
Jamaa wakakusanya hela saa pochi vidani na kila walichoona linafaa kisha wakaacha ile miti mashuka na vile vivyago pale pale. ..
 
Hahahaha hahaaa sasa hivi thubutuu!! Hii ndio faida ya utandawazi na uamsho. Pipo are so awakened!.
 
Back
Top Bottom