Tetesi: Kiyama cha simu za mkopo kuanza 2024

Namshukuru Mungu sina hata kimojawapo hapo na sijawahi.

Nina roho nyepesi siwezi kuishi na deni la mtu!
Nifa.
Hata mume wa mkopo pia huna?
Utakuwa unaishi kwa upigaji kazini kwako wewe. Mtz asiyekuwa na sehemu ya kupiga lazima mkopo haumkwepi labda ahame Jamhuri.
 
Never!

Mkuu, naishi ndani ya kipato changu. Sina tamaa ya makubwa, ninachokiweza nafanya nisichoweza naacha.

Mume huyo wa mkopo vipi? Lol
 
Kweli mkuu, ila huo mfumo wa uchumi si umetengenezwa na fikra za wachumi nyie?
Filosofia za uchumi zipo well known kwa mataifa yote duniani sema shida huja kwenye implementation za hizo theories na principles za uchumi. Ndio maana nchi moja ni tajiri, nyingine zinakuwa kwa kasi sana huku nchi za dunia ya tatu kama hapa Tanzania tukichechemea kila nyanja ya maendeleo.
 
Ole wako unayenunua simu ya kiganjani kwa mtu badala ya dukani.

Wengi wanatambia simu za mkopo na wanaoshindwa kumaliza mkopo baadhi yao hujitoa akili kwa kuziuza na kutokomea.

Makampuni ya simu za mikopo yanaanza operesheni maalum rasmi ya kukusanya madeni na ku-recover simu hizo kwenye robo ya kwanza ya mwaka 2024.

Makampuni ya mikopo ya bodaboda nayo yanajifua kuanza operesheni mwakani. Usinunue bodaboda mikononi bila ya kuwa na uhakika na ununuzi wake wa awali.

Maisha ya Mtz yanazidi kuwa kwenye hotspot. Mtz anadiwa kimataifa, kitaifa na kibinafsi.

Mtz ana simu ya mkopo, boda ya mkopo, servant quarter ya mkopo benki, sufuria za mkopo za Waturuki, vifaa vya ujenzi vya mkopo kwa Massawe wa Kishimundu, TV set ya mkopo kwy duka la Mkinga wa kutoka Makete, ticket ya mkopo ya Precision Air, digrii ya mkopo ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu, malimbikizo ya ada ya uanachama wa CCM ambayo kwa mwezi ni 100/ kwa mwaka ni 1,200/ tu, mke wa mkopo (anadaiwa mahari), anadaiwa marejesho vicoba sehemu 4 tofauti (1. Kaushadamu, 2. Usiku wa deni mfupi, 3. Kopauchizike, 4. Vunjandoa)

NB: Wachumi wa nchi hii mliosomeshwa kwa kodi zetu mko wapi? Mnafanya nini kuokoa taifa na hali hii? Nyie ni sehemu ya kuifikisha nchi kwy hali hii au?
Hivi yule profesori wa kuiga mikumbo analizungumziaje hili
 
Ni Hatari sana
 
Back
Top Bottom