Kiwanja morogoro

ni_mtazamo_tu

Senior Member
Oct 17, 2012
153
20
Habari zenu,
Nauza kiwanja namba 513 kilichopo Morogoro eneo la kilakala Block A.
Dhumuni la kuuza ni mahitaji ya pesa kwa ajili ya shughuli zangu za biashara.
Kiwanja nilinunua mwaka 2012 na kina karatasi zote zinazothibitisha uhalali wa eneo hilo, kiwanja hichi kimepimwa na nilikuwa kwenye taratibu za kupata hati ya kiwanja.

Upana wa kiwa nja upande mmoja ni mita 37 na mwingine ni mita 36 na urefu ni mita 53.50 upande mmoja na upande mwingine ni mita 60.

Pamoja na tangazo hili nimeambatanisha ramani yake unaweza kukiona kilivyo.

Bei ya kuuza ni shilingi milioni 25 za kitanzania na maongezi yapo kwa wale wenye nia ya kweli ya kununua.

Mwenye uhitaji awasiliane nami kwenye 0786 252026, tafadhali naomba uwasiliane na mimi kama kweli una nia nacho kwani ndio mwenye mali na si dalali.
 

Attachments

  • kiwanja.jpg
    kiwanja.jpg
    199.2 KB · Views: 101

Similar Discussions

Back
Top Bottom