teh teh teh. Jf kuna magumashi?? Kila kitu kiko order mkuu na vyema zaidi ni kuwa utakuwa unapakana na anayekiuza.
Samahani, kabla sijapiga simu,mbezi madukani ni mbezi juu katikati ya luis na beach au wapi? Naomba nitajie eneoKiwanja chenye ukubwa wa 40x40 kinauzwa Mbezi Madukani nyuma ya shule ya St Anne. Bei ni Milioni 15. Mtu wa kati hatakiwi. Mwenye shida kweli apige 0754 340606.
Samahani, kabla sijapiga simu,mbezi madukani ni mbezi juu katikati ya luis na beach au wapi? Naomba nitajie eneo