Kiwanja kinauzwa Wazo Hill, 6000sqm

Nyauba

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
1,098
105
Kiwanja chenye ukubwa wa 6000sqm kinauzwa maeneo ya Wazo Hill karibu kabisa na shule ya Wazo Hill High School. Kina Offer letter.

Ni eneo linalofaa kujenga shule, business complex, nk.

Kama unahitaji piga simu 0754 30 98 32

weka bei au wewe ni dalali utapanga bei kutokana na mtu anayekuja?
 
Back
Top Bottom