Kiwanja kinauzwa Mbezi Luis

KiparaDar

Member
Mar 20, 2007
68
29
Wakuu habari

Nauza kiwanja changu kilichopo mbezi luis maeneo ya Mtaa wa muhimbili/Muungano
Kiwanja ni kizuri na kikubwa cha ujazo wa 7600sqm kinafaa kwa makazi na biashara
Kiwanja kiko karibu kabisa kutazama barabara ya mbezi luis-Goba, ni plot ya pili kutoka barabarani
Bei Tzs 300m na maongezi yapo.
Mimi ndio mwenyewe na hakuna dalali

Karibuni wadau
 
Back
Top Bottom