kiwanja kiko mbezi beach africana bei maelewano ila kwa kuanzia 15ml.kiko njiani gari inafika. Ukubwa upana mita 15 urefu mita 20 tuwasiliane
nahitaji muu hicho kiwanja, mbona hujaweka mawasiliano, weka mawasiliano mkuuKiwanja kiko mbezi beach africana bei maelewano ila kwa kuanzia 15ml.kiko njiani gari inafika. Ukubwa upana mita 15 urefu mita 20 tuwasiliane
Sorry nlpitiwa usingizi. The plac is not far from b'moyo road. It takes nearly 10 to 15 mints to get there by foot and 5mints by car