Kiwanja kimetolewa kwaajiri ya makazi namba utapata ukiwa seriousfafanua zaidi kiongozi!
kiwanja namba ngapi?
kimetolewa kwa matumizi gani?
Mana hapo naona umepiga sehemu ambayo haina details za muhimu.
Ukubwa square metre 1516, Kipo karibu nabarabara kama mita 20 kutoka barabarani.Kimepimwa na Hati ipo nimechukua wizarani jana(picture attached).Bei ni millioni 25.Mazungumuzo yapo. 0653 967 510 No Dalali pliz

Mita 20 kutoka barabara ipi?
Kuna Barabara zingine hata mita 50 bado ni tatizo pia!!
Mkuu Kisukulu ndio wapi?
hahahaha, ni barabara ndogo za mtaa kaka ondoa shaka, unaangalia "vigingi" vyako tu!
Ningependa kujua Plot number, na block number.
Kweli Mkuu?