Kiwanja kinauzwa kisukulu

stepper

Senior Member
Aug 7, 2013
112
56
Ukubwa square metre 1516, Kipo karibu na barabara.Kimepimwa na Hati ipo nimechukua wizarani jana(picture attached).Bei ni millioni 19.Mazungumuzo yapo. 0653 967 510 No Dalali pliz
 
Attachments

  • 866.jpg
    866.jpg
    179.1 KB · Views: 174
fafanua zaidi kiongozi!
kiwanja namba ngapi?
kimetolewa kwa matumizi gani?
Mana hapo naona umepiga sehemu ambayo haina details za muhimu.
 
fafanua zaidi kiongozi!
kiwanja namba ngapi?
kimetolewa kwa matumizi gani?
Mana hapo naona umepiga sehemu ambayo haina details za muhimu.
Kiwanja kimetolewa kwaajiri ya makazi namba utapata ukiwa serious

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ukubwa square metre 1516, Kipo karibu nabarabara kama mita 20 kutoka barabarani.Kimepimwa na Hati ipo nimechukua wizarani jana(picture attached).Bei ni millioni 25.Mazungumuzo yapo. 0653 967 510 No Dalali pliz

Mita 20 kutoka barabara ipi?

Kuna Barabara zingine hata mita 50 bado ni tatizo pia!!
 
Ukubwa square metre 1516, Kipo karibu nabarabara kama mita 20 kutoka barabarani.Kimepimwa na Hati ipo nimechukua wizarani jana(picture attached).Bei ni millioni 25.Mazungumuzo yapo. 0653 967 510 No Dalali pliz

Mkuu Kisukulu ndio wapi?
 
Ningependa kujua Plot number, na block number.

Kuhusu Plot namba na block namba siwezi kuweka hapa JF ila mwenye nia ya kufanya biashara atazipata

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom