Kiwanja kinauzwa kipo opposite na vijana social hall m/nyamala

justdoit

Member
Sep 2, 2009
63
4
Kiwanja chenye ukubwa wa 450 square metre (18x26) ambacho kipo opposite na Vijana Social Hall kinauzwa.

Document zote zipo na hakina mgogoro wowote.
Bei 100m

Mawasiliano: 0713531152
 
Kuna eneo lipo wazi maeneo hayo au nyumba? mil 100? no wonder watu hawatoi hat comments kabisa hapa.
 
khe... 100M kwa sq 450?

yaani laki mbili na zaidi kwa square meter?/ atalipa dalali, TRA nk.??

our land market is inflated
 
Hiyo bei ni kutokana na Eneo kiwanja kilipo.

Kama unajua bei ya Viwanja huwezi shangaa hilo.

Lakini ungetakiwa kuuliza pia kama mazungumzo yapo.

Sishangai lakini kwa kuwa Mtandao wa Jamii Forums huwa tunapenda sana kuwa ma critic zaidi kuliko kuwa supporters au wadadisi kwa kuuliza information zaidi. Hata kama ishu ni ya ukweli lazma utakumbana na comments za kuvunja moyo.

It sucks big time ! We need to change for real ...
 
we need to change not with that 100mil? hito milion 100 nitapata 2 bedroom apartment UKtena mahala pazuri mno! Tz land markets sucks!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mil 100 let say ni kama $ alfu 90 au 80, unapata one bedroom miami, dublin or dubai according to my experience, sehemu ambayo umeme wa uhakika na maji ya kumwaga.
 
Land markets in Tz real sucks Square Meters 450 for 100 millions?

Hiyo bei ni kutokana na Eneo kiwanja kilipo.

Kama unajua bei ya Viwanja huwezi shangaa hilo.

Lakini ungetakiwa kuuliza pia kama mazungumzo yapo.

Sishangai lakini kwa kuwa Mtandao wa Jamii Forums huwa tunapenda sana kuwa ma critic zaidi kuliko kuwa supporters au wadadisi kwa kuuliza information zaidi. Hata kama ishu ni ya ukweli lazma utakumbana na comments za kuvunja moyo.

It sucks big time ! We need to change for real ...
 
Hiyo bei ni zaidi ya dola 65,000 za kimarekani. Hapo napata nyumba safi kabisa na sehemu iliyotulia marekani kuliko hapo karibu na vijana social hall penye kelele. Ila kwa hapa bongo utapata mnunuzi.
 
mil 100 let say ni kama $ alfu 90 au 80, unapata one bedroom miami, dublin or dubai according to my experience, sehemu ambayo umeme wa uhakika na maji ya kumwaga.
better inverst in UK or USA baadae utapata faida than TZ lol never buy a house in TZ too much! badala ya kujenga nyumba na kuhuza kwa bei nafuu ili wanendelee kujenga tungekuwa tuko mbali sana. mtajiju!
 
Kiwanja chenye ukubwa wa 450 square metre (18x26) ambacho kipo opposite na Vijana Social Hall kinauzwa.

Document zote zipo na hakina mgogoro wowote.
Bei 100m

Mawasiliano: 0713531152

i Hate the housing and land market in TZ is away too much! mnaoishi UK or USA please dont invenst in TZ, too expensive!
 
si umeiona hiyo signature yangu? kwahiyo wataliwa wajinga tuu, mi simo kwa kweli, hizo bei hata first world sio hivyo, inakuaje third world kuwe na bei, nini hasa cha ajabu? kwasababu ya mgao wa umeme au? mbu? barabara mofu mbofu? maji ya madumu? no thanks, nitarudi tu kutembea.
for those few weeks ambazo nitakuwa vacation sio mbaya kukaa giza bila ya umeme.
sucks BONGO
 
kaka kaka kakaa!!! ama kweli, nchi imekwishaaa, DOWANS wapo wengi lol!!
 
i Hate the housing and land market in TZ is away too much! mnaoishi UK or USA please dont invenst in TZ, too expensive!

Dada Lily usiseme in TZ sema in Dar es Salaam. Huko mikoani mbona viwanja na nyumba bei ni rahisi tu!
 
Kiwanja chenye ukubwa wa 450 square metre (18x26) ambacho kipo opposite na Vijana Social Hall kinauzwa.

Document zote zipo na hakina mgogoro wowote.
Bei 100m

Mawasiliano: 0713531152

Mkuu nakuunga mguu sio mkono kwa bei yako je waweza kupunguza? Na mimi ninacho changu kipo Vijibweni kuna mtu anahitaji anitumie hii email yangu ( fewgoodman@hotmail.com) nauza shilingi Million 50 Tanzania ,Shilingi (Au jina lingine Pesa za Machungwa )
 
Back
Top Bottom