Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,299
- 33,082
Mkuu Mzuanda Huyu mkuu justdoit hakusema anakipangisha kiwanja la hasha anakiuza hicho kiwanja sasa wewe Mkuu Mzuanda unazungumzia mambo ya kupangisha vyumba dubai ,miami na dublin sio sawa sawa na kununuwa kiwanja Tanzania? mbona unazungumza Pumba Mkuu Mzuanda?mil 100 let say ni kama $ alfu 90 au 80, unapata one bedroom miami, dublin or dubai according to my experience, sehemu ambayo umeme wa uhakika na maji ya kumwaga.