Kiwanja kinauzwa Kimara mwisho kwa gharama nafuu

omari kinyemi

Member
Nov 1, 2015
80
41
Habari

Kiwanja KINAUZWA Kipo KIMARA MWISHO Upande wa Barabara ya Morogoro Road,Ukitoka Posta

Kiwanja Kina Ukubwa wa Square Meter 19,200

Kimezungukwa na Nyumba za Makazi

Kiwanja Kina Nyumba Mbili Ambazo ziko Kamili na Zinaishi Watu

Nyumba Moja ina Vyumba Vitatu vya Kulala,Sebule,Jiko na Vyoo

Nyumba Nyingine ina Vyumba Viwili

Bei ya Nyumba Pamoja na Kiwanja Hiki ni Tsh Milion 400

Maongezi Yapo Kwa Ajili ya Manunuzi ya Kiwanja na Kwenda Kuona Eneo

Nyumba ina Documents Zote Kwa Maana ya Hati na Kiwanja Kimepimwa.

Tuwasiliane Kwa

0715-908698(Call/WhatsApp)
0759-538688(Call)

EYESON PROPERTY TANZANIA LTD

Tupo Makumbusho Complex Opposite na TIGO TANZANIA HQ na STENDI ya Bus

Floor ya Kwanza
IMG-20180901-WA0038.jpg
IMG-20180901-WA0036.jpg
IMG-20180901-WA0040.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mil 400 alafu Kimara.. Bei ya Mbweni hiyo
Ndio hapo hata Mimi nimeshangaa sana.
Watu wenye milioni 400 kwenye akaunti zao wanaishi masaki na mikocheni,mbezi beach,ununio,mbweni.
Sasa huko kimara wafuate kitu gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom