Kiwanja kinauzwa-kigamboni dege

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,488
14,355
Habari wanajamii
kwa yeyote ambaye anahitaji kiwanja maeneo ya Kigamboni Dege, tuwasiliane kupitia namba 0767 616 800 au 0712 800 616

Upande wa magharibi bahari ipo umbali wa KM 1 na nusu
Upande wa Kaskazini bahari ipo mbali
Nguzo za umeme zimepita barabarani na ukitaka kuvuta umeme ni nguzo mbili tu mpaka kwenye kiwanja kilipo
Ukubwa ni robo heka lakini bado hakijapimwa
Ukienda mbele kama kilometa mbili watu wameshaanza kujenga Supermarkets, nyumba za kuishi na frame za biashara.
Kwa mawasiliano zaidi piga hizo namba hapo juu
 
Kigamboni kuna mambo mawili, ukanunue kilichopimwa kwa bei kubwa, au ukanunue ambacho hakijapimwa kwa bei ndogo but uwe tayar kuingia hasara utakapokumbana na serikali maana hairuhusiwi kuuza, kujenga, kuendeleza ardhi ambayo haijapimwa maeneo yale
 
taja bei, kama kuna ofa taja, eneo lina sifa gani? kama kuna umeme, shule, maji, hospitali nk.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom