Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Lindi eneo la Mtanda

Muju4

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
5,322
7,163
Salam,

Kiwanja kimepimwa kinauzwa Lindi eneo la Mtanda.

Kina ukubwa wa 30 x 60 bei ni 5M.

Unapata view nzuri ya bahari ya Hindi na viunga vya mji wa Lindi.

Kipo karibu na nguzo ya umeme, pia huduma ya maji ipo karibu ni kuweka tu.

Karibuni Lindi "kucheleeee"

Kwa mawasiliano 0719081446

IMG-20200714-WA0011.jpg
 
Kimepimwa? Kutoka kiwanja kilipo Hadi beach how many meter? Mnakubali malipo ya awamu?
 
Mkuu kimepimwa, kutoka Mtanda mpaka beach pana wastani wa 1.5 Km hivi.

Kama upo interested tunaweza kuongea kuhusu instalment ipoje.
 
Lindi kuja kuendelea sio leo nasikia lile zindiko la taifa lilifanyika lindi...kuna uzi umeelezea humu kwanini mpaka leo lindi maisha ya watu wake ni duni sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Umefika Lindi mara ya mwisho lini? Kwa sasa kupo njema na mradi wa LNG $ 30 Billion ukianza patakuwa hapashikiki
 
Lindi ndiyo mji ambao katikati ya kuna lami eneo kubwa kuliko Dar es salaam wala mji mwingine wowote kwa Tanzaniia
 
Lindi safi ila Uislam umeiangusha ule mji kishenzi, kila mtu anajifanya mwarab....hawataki kujishughulisha na kufanya kazi, wao wanakaa tu na kucheza karata, draft, na bao. Mgeni ukienda na kujiendeleza wazawa wanakasirika na kukuombea albadir usiendelee au ufe tu.
 
Mkuu wanacheza bao huku wanaboti za uvuvi, wana mashamba ya chumvi na korosho unafikiri wanaishije sasa?
 
Umefika Lindi lakini? Ule mji zamani ulikuwa unaitwa Paris kutokana na maendeleo, na maendeleo hayo hayo ndiyo yakaleta watu wasiosoma toka mikoa jirani na vijijini kwenda kutafuta maisha kule. Bahati mbaya sasa, kati ya wale watu waliofurika pale kutafuta maisha wengi wao walikuwa hawana elimu zaidi ya kukariri Quran na vitu wasivyovijuwa. Wameenda pale kazi hakuna kwa sababu hawana elimu, wivu ukawatawala na kuanza kujikita zaidi kwenye dini na kusomea wenzao albadir wasiendelee na ujinga umeshamiri mpaka leo hii. Sehemu yeyote hapa Tanzania iliyoshamir Uislam kuna changamoto sana, angalia Kigoma, Tabora, Mtwara, Lindi, Tanga na Pwani......ni unafki tu na dhiki ndizo zimejaa japo kuna fursa kibao za kimaendeleo ila wananchi wake hawataki kujiendeleza. Hata Dar zamani ilikuwa hivyo il mkusanyiko wa watu ndiyo umeufany huu mji kuchangamka n wenyeji kukimbilia Goba, Tandale, Manzese, Chanika, Mbweni na sehemu zingine za hapa mjini zisizo na maendeleo.
 
Pia anapaswa kufahamu kuwa Waislam hawajabagua mtu pale,wakumbuke majengo makubwa yanayomilikiwa na Imani ni ya kwao,waaangalie kanisa la ROMA kule sabasaba,LUTHERAN kule baharini,waende ST ANDREA KAGWA mtanda na waende pale PROCURE jirani na bandari au beach hotel.
Huyu jamaa atakuwa mchawi ndiyo analoga wenzie.
 
Umefika Lindi lakini? Ule mji zamani ulikuwa unaitwa Paris kutokana na maendeleo, na maendeleo hayo hayo ndiyo yakaleta watu wasiosoma toka mikoa jirani na vijijini kwenda kutafuta maisha kule. Bahati mbaya sasa, kati ya wale watu waliofurika pale kutafuta maisha wengi wao walikuwa hawana elimu zaidi ya kukariri Quran na vitu wasivyovijuwa. Wameenda pale kazi hakuna kwa sababu hawana elimu, wivu ukawatawala na kuanza kujikita zaidi kwenye dini na kusomea wenzao albadir wasiendelee na ujinga umeshamiri mpaka leo hii. Sehemu yeyote hapa Tanzania iliyoshamir Uislam kuna changamoto sana, angalia Kigoma, Tabora, Mtwara, Lindi, Tanga na Pwani......ni unafki tu na dhiki ndizo zimejaa japo kuna fursa kibao za kimaendeleo ila wananchi wake hawataki kujiendeleza. Hata Dar zamani ilikuwa hivyo il mkusanyiko wa watu ndiyo umeufany huu mji kuchangamka n wenyeji kukimbilia Goba, Tandale, Manzese, Chanika, Mbweni na sehemu zingine za hapa mjini zisizo na maendeleo.

Stories za vijiweni hizi bro! Mbaya zaidi unajidhihirisha kuwa ni Mdini sana!! Huko Lindi na kusini kiujumla mbona kuna makanisa na himaya kubwa sana za Kikristo, zimefanya nini??

Kwa mikoa ya kusini kuna factors nyingi zaidi ya udini, ambayo iko solved ni miundo mbinu (barabara) na ukiangalia toka 2004 mpaka sasa kuna changes kubwa sana kwenye hiyo mikoa!

Mbona usiseme Dodoma na Singida zimepushiwa na Siasa za Mwendazake? Leo mnajiona wajaanja eti ukristo, rudi nyuma 2019 kuna mtu alitamani hiyo mikoa?? Geuzeni Tabora iwe makao makuu kama haitaendelea!! Tutajua kweli kikwazo ni Uislam
 
Umefika Lindi mara ya mwisho lini? Kwa sasa kupo njema na mradi wa LNG $ 30 Billion ukianza patakuwa hapashikiki
Ukianza mwaka gani..lindi palivyokaa tu ni ngumu kuendelea..yani topographic ya lindi ni kichekesho..labda huku juu veta ndio kuko poa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Stories za vijiweni hizi bro! Mbaya zaidi unajidhihirisha kuwa ni Mdini sana!! Huko Lindi na kusini kiujumla mbona kuna makanisa na himaya kubwa sana za Kikristo, zimefanya nini??

Kwa mikoa ya kusini kuna factors nyingi zaidi ya udini, ambayo iko solved ni miundo mbinu (barabara) na ukiangalia toka 2004 mpaka sasa kuna changes kubwa sana kwenye hiyo mikoa!

Mbona usiseme Dodoma na Singida zimepushiwa na Siasa za Mwendazake? Leo mnajiona wajaanja eti ukristo, rudi nyuma 2019 kuna mtu alitamani hiyo mikoa?? Geuzeni Tabora iwe makao makuu kama haitaendelea!! Tutajua kweli kikwazo ni Uislam
Naona hata uwezo wako wa kufikiri ndogo sana..unataka mkoa uendele mpaka serikali iweke nguvu??..huo ni ushamba..kuna vi miji vidogo sana ila vinakua kwa kasi..kama masasi..katoro na kwengineko..kwasababu ya wageni na wenyeji kuwa na moyo wa ukaribisho sio wa chuki kwa wenyeji.

Lindi haiwezi kuendelea kwasababu ya roho mbaya na za umimi..za wenyeji..kuwa na club tu lindi ni shida baa tatizo..sasa nani ataweka biashara ya maana maeneo kama hayo..wengi wenyeji mamwinyi wamejaa unafiki tu.

Mbona umekurupuka kijana, umeelewa nilichokijibu kwa jamaa! Read between lines, yeye hajashambulia Lindi kashambulia Uislam nami nimekwenda kwa factor ya dini si factors zingine jooh!!

Then kijana uwe unatoka nje ya box kifikra unaposoma jambo, nimetolea mfano Dodoma sababu ya rapid growth yake iliyotokana na siasa then wajinga wanahesabu kwamba sababu ya mji wa Kikristo!!

Yes!! Makazi hukuzwa kwanza na wenyeji, wengine wataendeleza! Kuna miji inajikuza yenyewe bila serikali! Nenda Mafinga halafu niambie setikali imeweka juhudi gani katika huo mji 🤣🤣🤣. Masasi, Tunduru ni mifano mizuri sana!!
 
Ukianza mwaka gani..lindi palivyokaa tu ni ngumu kuendelea..yani topographic ya lindi ni kichekesho..labda huku juu veta ndio kuko poa.

#MaendeleoHayanaChama
Wewe umewahi kufika Cape town au Rio de jeneiro?we ni mshamba sana,huko kuna milima na mabonde na kumejengeka vizuri sana,hakuna ardhi isiyokubali majengo kama uchumi wake uko vizuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom