Kiwanja kinauzwa Kibamba - Dar es Salaam

KASRI

Member
May 2, 2009
93
22
Nilisikia tu na naomba kama maelezo zaidi yapo nipewe. kwamba kipo kibamba na ni 2.5 km from Moro road, bei 10m per sqm 2000.
aliyenipa taarifa hapatikani hewani tena.
 
Ni kiwanja kimoja, hakijapimwa (Not Surveyed), kina ukubwa wa mita za mraba 2000, ila ukitaka nusu yake (mita za mraba 1000) unauziwa, kipo eneo la Kwembe, ni Kilomita 2.5 kutoka barabara ya Morogoro.

Bei ni TZS 10,000,000 kwa chote au Shilingi 5,000,000 kwa nusu yake.
Kwembe sehemu gani ?
 
size 40X50 kwa 10Ml with all those attributes!!!??? good luck
 
Shuka Bei kidogo! Fanya 7,000,000 kwa Chote unapata hela! Kina Documents ZOTE??? Tuma coordinates zake tuangalie kwa google earth.
 
Avatar you need to have simple marketing etiquettes. In this plot business you should give your contacts (phone, email, website ) and some other details like distance from power cables (tanesco), water mainlines (dawasco) accessibility by road etc.
 
..........and the nearest Police post as well.....a banditry prone area I know of
 
Ni kiwanja kimoja, hakijapimwa (Not Surveyed), kina ukubwa wa mita za mraba 2000, ila ukitaka nusu yake (mita za mraba 1000) unauziwa, kipo eneo la Kwembe, ni Kilomita 2.5 kutoka barabara ya Morogoro.

Bei ni TZS 10,000,000 kwa chote au Shilingi 5,000,000 kwa nusu yake.
kumbe ardhi ni mali namna hii.
 
kumbe ardhi ni mali namna hii.
Ni ujinga wetu tu wa kila mtu kutaka ardhi Dar ndiyo unafanya bei za ardhi zinakuwa juu kiasi hiki. Hiyo hela (10M) unaweza kununua kijiji kizima huko mkoa.
 
Ni kiwanja kimoja, hakijapimwa (Not Surveyed), kina ukubwa wa mita za mraba 2000, ila ukitaka nusu yake (mita za mraba 1000) unauziwa, kipo eneo la Kwembe, ni Kilomita 2.5 kutoka barabara ya Morogoro.

Bei ni TZS 10,000,000 kwa chote au Shilingi 5,000,000 kwa nusu yake.

hata nusu heka haifiki, ukienda hapo mlandizi unapata heka tatu kwa 9M (mita za mraba 14,700)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom