Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Bunju A bei poa

john hotsam da1

JF-Expert Member
Feb 4, 2012
396
78
Habari wakuu,

Kiwanja kinauzwa maeneo ya Bunju A Magurumawe, kimepimwa, eneo liko sehemu nzuri (kuna majirani) na sio bondeni, maji na umeme viko karibu, barabara inapitika vizuri!

Ukubwa wake ni mita za mraba 1,291. (1,291 square metres)

Bei ni tsh milioni 32 (32m tzs)

Mawasiliano 0742 529916

Hakuna udalali, Karibu.
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2017-12-25 at 19.03.59.jpeg
    WhatsApp Image 2017-12-25 at 19.03.59.jpeg
    79.5 KB · Views: 82
  • WhatsApp Image 2017-12-25 at 19.07.39.jpeg
    WhatsApp Image 2017-12-25 at 19.07.39.jpeg
    116 KB · Views: 72
  • WhatsApp Image 2017-12-25 at 19.07.55.jpeg
    WhatsApp Image 2017-12-25 at 19.07.55.jpeg
    104 KB · Views: 71
Pesa ndefu sana usawa huu qa ibada ya kusifu na kumwabudu.
 
Upimaji wa eneo na utoaji wa hati ni mazoezi mawili tofauti mkuu, kuna maeneo yamepimwa hayana hati kuna maeneo hayajapimwa na yana hati.
Katika Uzi ulioni-quote, mi nimezungumzia Hati na Offer,
Lakini katika jibu lako umezungumzia Hati tu,
 
Back
Top Bottom