Kiwanja kinauzwa 21 x 18 meters, Segerea Chama, Mil 4

hiki si kidogo sana wajemeni,mnaojua mahesabu tuambieni...kama heka moja ni 70*7O hiki hata robo heka hakijafika au?????je kinatosha kujenga nyumba na kuzungusha fensi??..mnaojua mahesabu mniambia nataka kununua.....
 
Mm ninavyoona nyumba ya kawaida ya room 3, siiting room, jiko, dining na store ndio inaweza kuwa na ukubwa huo. Je kuna nafasi yoyote inayobaki kwa kitu kingine itakua ndogo sana. Labda kujenga maduka.
 
Kiwanja 21 metres by 18 metres, Mil 4 ASAP,
hakuna dalali, kipo Tabata Segerea Chama, kina hati
Call 0719129704, wahi mapema
Thanks

Hakuna dalali lakini naona wewe ni dalali. Hivi kwa akili yako kweli kiwanja kama hicho mtu akupe 4ml tena Dar!!!!! Labda kiwe eneo ambao ni la biashara vinginevyo utapeli.
 
Mhh hata mie nna wasiwasi. Arachuga hiyo utapata kuanzia 10 mil!
 
ningekuwa nimebakiza vijisent ningenunua, hicho kipo high density na kinatosha kujenga self nzur ya rum 3 tena kwa 4m uko alikotaja its fair mazee
 
Njoo uone, kama unajua physical dimensions nimeandika
21 x 18 meters, sasa wengine mnauliza eti unaweza jenga room 3, sebule na jiko, hili ni eneo standard, piga simu hiyo hapo na uone, limepimwa, ni zuri kabisa....

mkuu wengine hatujui mahesabu,hio 21 kwa kumi na nane meters ndio kubwa aje??? ni hatua au...mimi sijui ,naonaga tu humu wanasema 70 kwa 70 ni hekari moja ila sijajua huwa wanazungumzia nini,metres au hatua ndio maana nikauliza kama mtu anaweza kujenga nyumba ya vyumba vinne na kuzungusha ukuta?
 
Hakuna dalali lakini naona wewe ni dalali. Hivi kwa akili yako kweli kiwanja kama hicho mtu akupe 4ml tena Dar!!!!! Labda kiwe eneo ambao ni la biashara vinginevyo utapeli.
Mkuu mara ya mwisho umenunua lini kiwanja Dar? Yaani bei hiyo unaiona kubwa mkuu? Tena Segerea? Haupo serious kabisa nakwambia. Viwanja Chanika huko 20x20 tena hata uhakika wa barabara hakuna vinauzwa milioni tatu, sembuse hiki na hati kinayo? Mkuu kama hujui uhalisia wa maisha bora usiseme.
 
Nyinyi mnaolalamika inaelekea hamjawahi kununua kiwanja Dar es Salaam. Hicho ni kiwanja kikubwa na bei ni nzuri tena kama kina hati ndio hiyo bei ni kama wanatupa tu. Kwa mnunuzi, hakikisha Kiwanja hakina mgogoro na neno wizara ya ardhi ukapate proof ya ownership. Jina la anayekuuzia na kwenye hati lisitofautiane hata ukipewa maelezo yenye utamu gani ya mdomo. Deal ni nzuri kwa kweli.
 
ZeMarcopolo nisaidie mie sijajua huu ukubwa,je unaweza kutosha nyumba ya vyumba vinne na kuzungusha fensi?
 
Nyinyi mnaolalamika inaelekea hamjawahi kununua kiwanja Dar es Salaam. Hicho ni kiwanja kikubwa na bei ni nzuri tena kama kina hati ndio hiyo bei ni kama wanatupa tu. Kwa mnunuzi, hakikisha Kiwanja hakina mgogoro na neno wizara ya ardhi ukapate proof ya ownership. Jina la anayekuuzia na kwenye hati lisitofautiane hata ukipewa maelezo yenye utamu gani ya mdomo. Deal ni nzuri kwa kweli.

Mmeeleweka wakuu.
 
Hiyo bei ndogo sana, labda kama anatatizo la gafla vinginevyo kinaweza kuwa kina migogoro kiwanja kilicho pimwa Dar hakiuzwi 4M tena segerea labda ingekuwa ni chanika au kibamba au mwabepande
 
Sisi ni wenyeji hapo chama tulinunua viwanja miaka mingi kwa mil5, huwezi kuuza kiwanja hapo kwa mil4, tena kina hati!ungesema hata mil.10 ningekuelewa kidogo. Kwa wasiojua mita 18 kwa uwanja wa football ni pale inapopigiwa penalt mpaka golini ,nenda uwanjani ukaangalie hiyo distance!
 
mbona unadanganya watu eti mita 18, acha uongo wewe. ni mita 11 kwenye spot hadi golini.

musikimbilie kuongea msivyovijua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom