Kiwanja chenye title kinauzwa

Mkazuzu

JF-Expert Member
Apr 3, 2008
449
554
Wakubwa asalaam aleykum,
natumaini mu wazima.ni kawaida yangu kuwajuza kuhusu biashara mbalimbali zinazopatikana hapa mjini nikiwa kama mdau wa jukwaa hili la biashara.
kama nilivyo tambulisha kwenye heading hapo juu,kuna kiwanja chenye ukubwa wa 41 x 38 au square meter 1558,kipo mbezi juu,TATEDO kina hati,bei ni shilingi milioni 30 kwa eneo zima au milioni 15 kwa nusu eneo.
wasiliana moja kwa moja na Mr.M Mihayo simu:0719810971 na 0717567879,madalali hawatakiwi.
thank you:loco:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom