Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaga-Kinyerezi

Family_hammer

Member
Jan 2, 2016
29
11
Kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 2921 (zaidi ya nusu eka) kinauzwa.

Kiwanja kipo Kibaga- Kinyerez karibu na Songas-Kinyerezi Plant. Kiwanja kinafaa kwa shughuli za biashara, Makazi na ufugaji. Huduma zote muhimu kama maji na umeme zipo karibu na eneo la kiwanja.

Kiwanja kina unfinished Boys quarter, yenye vyumba viwili, sebule, choo, bafu na jiko.

Kiwanja kina hati na bei yake ni shilingi milioni sabini na tano tu (75,000,000/=) kwa maelezo zaidi piga simu namba 0713 629 999.

DSC03909.JPG
DSC03910.JPG
DSC03913.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom