alikuwa na elfu hamsini tu mfukonipalikushinda nn mkuuu
Nimecheka sana mkuu,😂😂😂alikuwa na elfu hamsini tu mfukoni
Mama watoto ameshajibu hapo chini, amesema Nilikua na elfu 50 tu.palikushinda nn mkuuu
kwani kukili udhaifu ni zambiMama watoto ameshajibu hapo chini, amesema Nilikua na elfu 50 tu.
Sio udhaifu mtoto mzuri.kwani kukili udhaifu ni zambi
alikuwa na elfu hamsini tu mfukoni
Kuwa muangalifu dodoma jitahadhali na kinga kuna mzigo wa kutosha coronaWakuuu poleni na majukumu.
Ijumaa ntakuwa dodoma ndugu yenu naombeni location ya kiwanja cha bata chenye watoto classic kinachojaza toto zinacheza mziki mkubwa hapa makao makuu Dodoma
Natanguliza shukrani zangu za dhati
Duh kwa mara ya kwanza kuja dodoma mwenyeji wangu alinipeleka hapo aiseee wademu wana mwaga viuno balaa kuvishika free umnunulie tu ka liteBambalaga
Afghanistan