Kivuko cha MV Magogoni chapoteza mwelekeo, abiria wajitosa majini

Mambo?? The Boss na Barbarrosa wanasema lile daraja ni matumizi Mabaya ya pesa, bora zingejengwa hospital zenye hadhi sawa na Amana ili kupunguza ziara Za Mh kiongozi muhi3.
mmh aisee kwa sisi tusiojua kuogelea liishe tu .. nashindwa hata kufanya mamabo ya maendeleo kibande ile sababu ya kupanda kivuko
 
kama sijakosea that was morning baada ya kivuko cha mv magogoni kuleta shida na kisha mv kigamboni kikashindwa kupaki mwanzoni hadi Magogoni kilipoondolewa mahali pale. watu walikuwa ni wengi sana na mv kigamboni peke yake kisingeweza.

kama sikosei hizi picha zilipigwa mie nikiwa ndani ya hicho kivuko na nikiwa mbele nimesimama.....

twamshukuru sana Mungu tulifika salama upande wa pili.

ukiangalia picha moja kuna mtu kanyanyua kitu cha rangi ya pinki, kuna dada alikuwa na mtoto mchanga sana kama less than 3 months old, baada ya kuona ule msukumano pale kati kuna wtu alijitolea kumbeba mtoto na kupenya naye hadi ndani ile linaanza kuondoka yule dada alikuwa hajaingia bado. alikuwa katika hao waliokuwa huko mlangoni ikabidi sie kule mbele tubanane sana ndipo ikapatikana nafasi kama unavyoona picha ya mwisho kivuko kikiondoka. walishuka watu wachache sana ila tulivyobanana ilipatikana nafasi watu wakasogea

nb: mods mwaweza ongezea kwenye post ya kwanza
 
HIVI Hiki Kivuko Mv Kigamboni, Hakina Mwisho Wake Wa Matumizi?? MAANA Tokea Niko Dogo Wa Nursery Hadi Leo Mzee Naitwa Babu, Bado Nakiona Tu Kikitumika!! HATA Baada Ya KULETWA Mv Magogoni!!! WHY Mh. President Asitoe Amri, Kile Cha MV DAR, Alichokinunua Akiwa Waziri Wa Miundombinu, Kwa Lengo La Kutumika KUPUNGUZA FOLENI, Kitumike Hapo KWANZA!! KULIKO Kukiweka Tu Kikioza!! MATOKEO Yatokee Yale Ya MELI YA SAMAKI YA WACHINA!!!!
 
Poleni sana waliofikwa na hali hiyo.

Mapaparazi nao kama kawaida naona wako busy kuchukua matukio!! Ila asanteni kuchukua ili nasi tusiokuwepo tuhabarike!
 
Napia jipu hili litumbuliwe kigamboni mmezidi kuwapa wananchi sheria lakini ndani ya management mbovu hamuioni?sehemu yakukaa abiria kusubiri pantoni inajaza mpk watu wanakosa hewa, lazima muone sasa changamoto yakigamboni nawatu imejaa, mnashusha watu kwenye magari na wakati watu mnawajaza hebu jiangalieni nyie kigamboni eti mpk sasita usiku wakati wenyewe hamna management, mnaendesha engine moja sijui kubana mafuta kuna siku kweli mnafanya kazi lakini maranyingi ni wazembe na hamjali mida yawatu udnt have axactly time yakuondoka msifanye kazi kwamazoea tafadhali viongozi husika mulika hapa kunashida
 
Kichwa cha habari na habari yenyewe MV MAGOGONI, picha MV KIGAMBONI.
Dah! JF siku hizi inasikitisha sana.
 
Hapo ndiyo ulishamuaga mtu wako unasafari ya kikazi mkoani... kumbe mipango ya valentine tu na mchepuko, alafu unaonekana yuleeee... unanusurika kwenye kivuko...
Hahahahaaa wewe jamaa bwana?
 
kama sijakosea that was morning baada ya kivuko cha mv magogoni kuleta shida na kisha mv kigamboni kikashindwa kupaki mwanzoni hadi Magogoni kilipoondolewa mahali pale. watu walikuwa ni wengi sana na mv kigamboni peke yake kisingeweza.

kama sikosei hizi picha zilipigwa mie nikiwa ndani ya hicho kivuko na nikiwa mbele nimesimama.....

twamshukuru sana Mungu tulifika salama upande wa pili.

ukiangalia picha moja kuna mtu kanyanyua kitu cha rangi ya pinki, kuna dada alikuwa na mtoto mchanga sana kama less than 3 months old, baada ya kuona ule msukumano pale kati kuna wtu alijitolea kumbeba mtoto na kupenya naye hadi ndani ile linaanza kuondoka yule dada alikuwa hajaingia bado. alikuwa katika hao waliokuwa huko mlangoni ikabidi sie kule mbele tubanane sana ndipo ikapatikana nafasi kama unavyoona picha ya mwisho kivuko kikiondoka. walishuka watu wachache sana ila tulivyobanana ilipatikana nafasi watu wakasogea

nb: mods mwaweza ongezea kwenye post ya kwanza
Yah its true, Kivuko hakikupoteza uelekeo bali mlango ule ambao umeshikwa na Cheni ulipachuka kias cha kuwatia hofu abiria.
Baada ya hapo watu walikaa sawa na kikaendelea na safari. Hata hvyo mlango huo ulipachuka wakat kivuko kinaanza safari ndio maana hao walioko majini inaonekana waz wapo kwenye kina kifupi.
 
kama sijakosea that was morning baada ya kivuko cha mv magogoni kuleta shida na kisha mv kigamboni kikashindwa kupaki mwanzoni hadi Magogoni kilipoondolewa mahali pale. watu walikuwa ni wengi sana na mv kigamboni peke yake kisingeweza.

kama sikosei hizi picha zilipigwa mie nikiwa ndani ya hicho kivuko na nikiwa mbele nimesimama.....

twamshukuru sana Mungu tulifika salama upande wa pili.

ukiangalia picha moja kuna mtu kanyanyua kitu cha rangi ya pinki, kuna dada alikuwa na mtoto mchanga sana kama less than 3 months old, baada ya kuona ule msukumano pale kati kuna wtu alijitolea kumbeba mtoto na kupenya naye hadi ndani ile linaanza kuondoka yule dada alikuwa hajaingia bado. alikuwa katika hao waliokuwa huko mlangoni ikabidi sie kule mbele tubanane sana ndipo ikapatikana nafasi kama unavyoona picha ya mwisho kivuko kikiondoka. walishuka watu wachache sana ila tulivyobanana ilipatikana nafasi watu wakasogea

nb: mods mwaweza ongezea kwenye post ya kwanza

Kwa maelezo yako ina maana chombo ndio kilikuwa kinaondoka. Kama kuna uzembe kwa wale wasimamizi, inabidi wazuie abiria wakiona kimejaa.
Vile vile nahodha hapaswi kuondoa chombo bila kuwa na uhakika wa usalama wa abiria.
 
Nakala ya barua niliyoandika kwa Waziri Wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
 
Back
Top Bottom