Kivuko cha MV Magogoni chapoteza mwelekeo, abiria wajitosa majini

Bahari nimeijua ukubwani ndio najifunza hivi sasa kuogelea
Safi sana mtu wangu.

Jitahidi wala si kazi sana.

Kuna wengi niliwafundisha kukoga, huwezi amini muda mfupi wamefuzu.

Ila uongo dhambi, ukimfundisha mrembo kuogelea raha sana.

Majini kwanza wewe Mwalimu Uume lazima usimame, halafu zile chuchu zinakuwa ngumu zinachachamaa.

Kwa kweli ni mtihani sana.

Halafu kwasababu nilizoea Maji ya Bahari, nilipokuwa mdogo ikitokeaga mara moja moja nikikoga maji yasio ya Bahari, haya ya vidimbwi, mito, nk. Mwenzio napataga vichocho.

Udogoni nilipata sana vichocho.

Kichocho unakijua?

Ukimaliza kukojoa mwishoni inatoka Damu
 
Wengine sisi dhoruba tulishazoea ipata hiyo nakumbuka safari za kwenda mafia boti kuzingua ktk ya bahari ilikuwa inatokeaga Sana tu!
Usafiri wa huko ni kafiri tu,wakinamama na watoto wanapata tabu Sana.....nashangaa pantoni limebuma karibu na sehemu ya kushuka watu wanapanik je wangekuwa katikati ya Maji ingekuwaje?
Hahahaah nitajifunza mengi nikihamia huko
 
Tatizo wasimamizi WA hii kitu wanacheza na maisha ya watu. Unakuta pantoni Ni bovu lakini watu wanaruhusiwa kulijaza kupitiliza mpaka ajali zinatokea
 
Back
Top Bottom