R-K-O
JF-Expert Member
- Jun 27, 2023
- 482
- 2,151
Haihusiani na kwenda kumjulia ndugu hali kwa wiki moja ama mbili, haihusiani na kukaa kwa ndugu ukienda mkoa wake kikazi.
Walengwa ni watu wazima miaka 24+ wenye kuweza kufanya shughuli yoyote halali.
INAVURUGA BAJETI - Ndugu yako kapanga nyumba anaanza kujibana ajenge kwake ila wewe unaenda kwake kumuongezea bili ya gunia la unga na maharage, hii si sawa.
KUMUONGEZEA KAZI HOUSE GIRL - Kuna ndugu hawaoni tatizo kumpa house girl nguo za kufua , vyombo vya kuosha, kumtuma tuma, n.k. huu ni mzigo kwa house girl.
WATOTO KUJIBANA KWAJILI YAKO - Kiuchumi mtu alishatenga vyumba viwili kila mtoto awe na chake, dstv ya sebleni watoto waangalie katuni zao bila kubugudhiwa, n.k. uwepo wako huvuruga mipanggo hii